nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Rudi kabla ya tar 25Boss, anazipata wapi hizo 4? Kuna wakati mkubali ukweli usemwe. Nitakurudia trh 24 baada ya match
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi kabla ya tar 25Boss, anazipata wapi hizo 4? Kuna wakati mkubali ukweli usemwe. Nitakurudia trh 24 baada ya match
oh wametoka kweli yangaView attachment 2906369
Mechi za Yanga zilizobaki
Yanga vs CR Belouzidad - Nyumbani
Al Ahly vs Yanga - Ugenini
Mechi za CR Belouzidad
Yanga vs CR Belouzidad
CR Belouzidad vs Medeama SC
ili Yanga ifuzu hakuna namna inabidi ishinde SIO CHINI YA GOLI 4 dhidi ya CR Belouzidad, ukipunguza hisia za ushabiki utakubaliana nami kwamba Mechi ya Al Ahly sio ya kuipa matumaini, huwa wapo tofauti sana wakiwa kwao, kwa makadirio tukijitahidi wanaweza kutufunga goli mbili.
Belouzidad mechi ya mwisho atacheza nyumbani kwake dhidi ya vibonde wa kundi Medeama SC ambao wamefungwa 3 - 0 mechi zote za ugenini dhidi ya Yanga na Al Ahly, Kwa makadirio si ajabu nao Belouzidad wakijipigia tatu.
Deal done [emoji4]Hiyo game ya yanga na CRB pale kwa mkapa ni game ngumu mno tofauti na wadau wengi wanavyopiga hesabu za vidole tena inaweza ikatoa matokeo ya kushangaza....ila yanga akifanikiwa kushinda 4-0 anapita moja kwa moja kwenda robo kabla hajacheza hata game yake ya mwisho na al ahly, na akitokea amefungwa hata goli moja itakuwa end of the road kwake!....
Leo umefundishwa kuwa mpira sio sawa na kukuna nazi huku unaimba nyimbo za taarabu za mipasho bali ni kujipanga. Umejifanya mjuaji sana na mpiga ramli kwa Yanga. Umeumbuka kilichokuwa kigumu zaidi ya hiyo kutoa sare Cairo leo kimefanyijka. Yanga kaishamaliza hesabu zake nyie subirini wiki ijayoSare na Al Ahly ni mutual exclusive ni sawa na mtu aliyeambiwa avae boxer kisha avuke maji ya shingo bila pumb kulowa.
WE utaweza?
[emoji23][emoji23][emoji23]labda achambue mchichaNjoo uchambue sasa kama ni rahisi. [emoji23]
Unalo,je,unapakujificha,je,kesho utatoka hukomafichonike na Je upo tayari kwa ubatizo mpya urudi nyumbani kumenoga naomba majibu tafadhali huku nikiwa full shangwe nikishangweka kwa raha na furaha tele.View attachment 2906369
Mechi za Yanga zilizobaki
Yanga vs CR Belouzidad - Nyumbani
Al Ahly vs Yanga - Ugenini
Mechi za CR Belouzidad
Yanga vs CR Belouzidad
CR Belouzidad vs Medeama SC
ili Yanga ifuzu hakuna namna inabidi ishinde SIO CHINI YA GOLI 4 dhidi ya CR Belouzidad, ukipunguza hisia za ushabiki utakubaliana nami kwamba Mechi ya Al Ahly sio ya kuipa matumaini, huwa wapo tofauti sana wakiwa kwao, kwa makadirio tukijitahidi wanaweza kutufunga goli mbili.
Belouzidad mechi ya mwisho atacheza nyumbani kwake dhidi ya vibonde wa kundi Medeama SC ambao wamefungwa 3 - 0 mechi zote za ugenini dhidi ya Yanga na Al Ahly, Kwa makadirio si ajabu nao Belouzidad wakijipigia tatu.
Unakuaga na wengeSare na Al Ahly ni mutual exclusive ni sawa na mtu aliyeambiwa avae boxer kisha avuke maji ya shingo bila pumb kulowa.
WE utaweza?
Mechi imeisha unasemaje?Boss, anazipata wapi hizo 4? Kuna wakati mkubali ukweli usemwe. Nitakurudia trh 24 baada ya match
Ongeza sauti tukusikieMnazunguka wee alafu mnauficha ukweli kuwa kwa hapo kundi lilipofika yanga ndio kibonde sasa wote al ahly na CRB wanategema wavune point 3 kutoka kwa yanga..
the teh tehView attachment 2906369
Mechi za Yanga zilizobaki
Yanga vs CR Belouzidad - Nyumbani
Al Ahly vs Yanga - Ugenini
Mechi za CR Belouzidad
Yanga vs CR Belouzidad
CR Belouzidad vs Medeama SC
ili Yanga ifuzu hakuna namna inabidi ishinde SIO CHINI YA GOLI 4 dhidi ya CR Belouzidad, ukipunguza hisia za ushabiki utakubaliana nami kwamba Mechi ya Al Ahly sio ya kuipa matumaini, huwa wapo tofauti sana wakiwa kwao, kwa makadirio tukijitahidi wanaweza kutufunga goli mbili.
Belouzidad mechi ya mwisho atacheza nyumbani kwake dhidi ya vibonde wa kundi Medeama SC ambao wamefungwa 3 - 0 mechi zote za ugenini dhidi ya Yanga na Al Ahly, Kwa makadirio si ajabu nao Belouzidad wakijipigia tatu.
View attachment 2906369

Mungu kakulaaani mpira sio mchezo wa mdomoni ni mchezo wa uwanjani sawa ndugu acha kuwachukulia poa Yanga SC weweView attachment 2906369
Mechi za Yanga zilizobaki
Yanga vs CR Belouzidad - Nyumbani
Al Ahly vs Yanga - Ugenini
Mechi za CR Belouzidad
Yanga vs CR Belouzidad
CR Belouzidad vs Medeama SC
ili Yanga ifuzu hakuna namna inabidi ishinde SIO CHINI YA GOLI 4 dhidi ya CR Belouzidad, ukipunguza hisia za ushabiki utakubaliana nami kwamba Mechi ya Al Ahly sio ya kuipa matumaini, huwa wapo tofauti sana wakiwa kwao, kwa makadirio tukijitahidi wanaweza kutufunga goli mbili.
Belouzidad mechi ya mwisho atacheza nyumbani kwake dhidi ya vibonde wa kundi Medeama SC ambao wamefungwa 3 - 0 mechi zote za ugenini dhidi ya Yanga na Al Ahly, Kwa makadirio si ajabu nao Belouzidad wakijipigia tatu.
Mkuu unasubiriwa hukuBoss, anazipata wapi hizo 4? Kuna wakati mkubali ukweli usemwe. Nitakurudia trh 24 baada ya match
Dua La Kuku Halimpati Mwewe.