View attachment 2906369
Mechi za Yanga zilizobaki
Yanga vs CR Belouzidad - Nyumbani
Al Ahly vs Yanga - Ugenini
Mechi za CR Belouzidad
Yanga vs CR Belouzidad
CR Belouzidad vs Medeama SC
ili Yanga ifuzu hakuna namna inabidi ishinde
SIO CHINI YA GOLI 4 dhidi ya CR Belouzidad, ukipunguza hisia za ushabiki utakubaliana nami kwamba Mechi ya Al Ahly sio ya kuipa matumaini, huwa wapo tofauti sana wakiwa kwao, kwa makadirio tukijitahidi wanaweza kutufunga goli mbili.
Belouzidad mechi ya mwisho atacheza nyumbani kwake dhidi ya vibonde wa kundi Medeama SC ambao wamefungwa 3 - 0 mechi zote za ugenini dhidi ya Yanga na Al Ahly, Kwa makadirio si ajabu nao Belouzidad wakijipigia tatu.