mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ngoja wenyewe waje!! Sasa ndio ugopolo watajua kuwa ku be mwaka jana Simba ilifika mbali sana! Kama ni safari ya kutoka Dar hadi Mwanza Simba walifika Shinyanga lakini Yanga (kwa kuwapendelea sana) wameishia Mlandizi!!Kwani hii nayo ni Habari? π π π π π π π
Mlipewa kombe gani kwa "Kufika Mbali"?Ngoja wenyewe waje!! Sasa ndio ugopolo watajua kuwa ku be mwaka jana Simba ilifika mbali sana! Kama ni safari ya kutoka Dar hadi Mwanza Simba walifika Shinyanga lakini Yanga (kwa kuwapendelea sana) wameishia Mlandizi!!
Tumuulize Job Ndugai atuambie kuhusu hilo...Ngoja waje watakwambia jezi ya Simba ina makorokoro,yani hawa watani zetu hamnazo kabisa.
Yanga timu kubwa kuliko Simba ndo inazungumziwa sana, Yanga inaandikwa maandiko tofauti zaidi ya mara tano kwa siku,Simba haizungumziwi kabisaUkweli tuuseme Yanga ni timu changa sana!! Hawawezi kujilinganisha na Simba hata kidogo!! Waulize kwenye haya mashindano wamevuna shilingi ngapi na walinganishe na fedha alizovuna Simba mwaka jana kwa kufika hatua ya robo fainali!!
Yanga iache kabisa kujilinganisha na Simba, wala Azam wala Biashara wala simba queens!!
Haya kiko wapi sasa. π π€£ π€£Visit Kilimanjaro ππ
Umetokea Mirembe nini!Ukweli tuuseme Yanga ni timu changa sana!! Hawawezi kujilinganisha na Simba hata kidogo!! Waulize kwenye haya mashindano wamevuna shilingi ngapi na walinganishe na fedha alizovuna Simba mwaka jana kwa kufika hatua ya robo fainali!
Yanga iache kabisa kujilinganisha na Simba, wala Azam wala Biashara wala simba queens!!
Nakazia hapa hakika muda ni mwalimu mzuri sana
Waulize wako wapi leoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia hapa hakika muda ni mwalimu mzuri sana