Yanga yatupwa nje Kagame. Badala ya kusaidia kujenga timu mashabiki wao wanakalia kumsakama Mo

Wamefungwa goli ngapi na Express?.
Inamaana wanamuziki wao wapya toka DRC hawajawasaidia!
Tatizo yanga muda mwingi waliiutumia kufatilia mambo ya manara na mo mwisho ht timu yao hawakujliandaa.kushituka 3 nyavuni.walalamikie tff anaipendelea simba na simba ht kagame cup haijashiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…