Yanga yavunja rasmi mkataba na Sead Ramovic, yamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi

Chakushangaza singida black stars hawajatangaza kuachana na kocha wao aliyetangazwa na yanga ,vituko kwenye ligi
 
Tulilishwa matangopori kuwa kocha ndiyo kaomba kuvunja mkataba sijui belzoudad wamemuhitaji kumbe chai, kocha gani huyo CR wamuhitaji, kumbe zilikuwa propaganda baada ya kuvumilia kwa muda mrefu aibu ya kumsajili kocha mbovu mwisho mmeamua liwalo na liwe ha ha

Pale kulikuwa hamna kocha Eng aliwaingiza chaka, hata huyu mpya baada ya mechi ya Simba ana hatihati ya kufurushwa
 
UMMMA ndo nini wazee mwenye kujua atuambie.
 
Reactions: BRN
Huyu Miloud Hamdi nae anaweza asimalize msimu huu

Poor utopolo
 
CR utopolozidadi inakwenda kushuka hakuna kocha na ni uongo kusema wamelipa pesa!
 
Utani wa jadi unazidi kupamba moto. Akaunti rasmi ya Klabu ya Simba imewasahihisha wapinzani wao Yanga baada ya kutoa press yenye makosa ya kiuandishi.

Badala ya kuandika Umma wameandika Ummma. "Jirani punguza pressure, ni Umma si Ummma" imeandika Simba SC.

Ama kweli Yanga ya sasa kila mtu anajipigia tu kwa namna anayoona inafaa.

 
Yanga imekuwa kama mkwe mwenye gubu. Kila mke anaekuja anakimbia🤣🤣🤣🤣.

Waanze kuajiri makocha wa ndondo cup sasa.
 
Uto mlimuombea Dua mbaya Fadlu..naona ubaya unawarudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…