Yanga yavunja rasmi mkataba na Sead Ramovic, yamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi

Ile team now kila mtu ana mipango yake.

Kuna nyie muutakao Ubingwa halafu kuna wengine wanataka ubunge.
 
Side mnyamwezi kala kona, kalala mbele baada ya kuona simba anagawa vipigo vizito.

"GUSA ACHIA LALA MBELE, KULA KONA, KIMBIA USIFUNGWE 5 NA SIMBA"
 
Kocha kama kocha out
 
Ukitaka kujua yanga ni timu mbovu angalia wanavyofukuza makocha kwa mbwembe za kunufaidika kimkataba. Gusa achia tuwapotezee maboya.
 
Kikosi tunacho kocha ndio hatuna! Hiki kikosi hata tungempa timu Mwinyi Zahera tungevuka makundi CAFCL!
Hakika unaujua mpira vyema pale kwa mabingwa kikosi kipo sema bwana side rambovic hakua kocha yeye ni mwanamitindo anajua kuvaa suti na vizibao kama vya Mao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…