Yanga yavunja rasmi mkataba na Sead Ramovic, yamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi

Ina maana barua waliiandika mapema ? Hii tarehe ina maana gani ?
 
Said kaona isiwe tabu kawaachia utopolo yao
 
Vile vikoti koti vyake na vizibau kama muuza alkasusu babu Side niachieee usiondoke navyo tafadhali
 
Klabu ya Young Africans imethibitisha kumnasa Miloud Hamdi kuwa kocha mkuu wa klabu akichukua nafasi ya Saed Ramovic ambaye wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba nae.
View attachment 3225526
Ndio muamini kuwa utopolo ana stoo zake za kutunzia makocha na wachezaji. SBS, Dodoma jiji, pamba na zote zinazofadhiliwa na gsm. Msishangae hata wale waliopewa uraia fake (wahamiaji haramu) soon mtawakuta wako utopoloni.
 
Katoa Siri za ndani🤣🤣🤣. Huoni kipaji cha CCC kilivyokufa Kule hakuna kuhangaika point zipo hata wachezaji wakilala bar😂😂
Umenena sahihi, side kaona anashinda kwa viongozi kununua timu pinzani
 
Maamuzi bora kwa viongozi huyu kocha sikuwahi muelewa🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…