Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Kama kuna wajinga nchi hii ni utopolo ,hizi mechi za kimataifa tumewabeba ,kuna video kwenye mitandao wameenda kuwapokea planteau airport huku wakiimba Planteu! Planteu! Simba underdog, tunakoelekea si pazuri kama imefika hatua hii.
Sijui mashabiki wa Simba kesho watavumiliaje mwenye jezi ya kijani au njano anakaa jukwaani.
Huu ni uwendawazimu, hawa wehu wamezoea kupokea na kubeba watu airport kama watumwa huu ni utumwa wa akili
Sijui mashabiki wa Simba kesho watavumiliaje mwenye jezi ya kijani au njano anakaa jukwaani.
Huu ni uwendawazimu, hawa wehu wamezoea kupokea na kubeba watu airport kama watumwa huu ni utumwa wa akili