Siwezi kuja kwani nipo UbelgijiNjoo uone kitakachotokea kesho ni siku ya red
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kuja kwani nipo UbelgijiNjoo uone kitakachotokea kesho ni siku ya red
Mbona hujiamini wewe si unateam nzuri,ionyeshe uwanjani achana na Mashabiki wa Yanga.Mdo pumba zenu utopolo akili zimejaa mavi
Ni Haji Manara ndiye aliyewaambia muwe mnawapiga mashabiki wa Simba? Zamu yenu ni kesho, njoo kiboya boya kwa Mkapa upate cha mtemakuni.Kama mropokaji wenu ataendelea kutengeza chuki Hilo linaweza kutokea...Yanga na Simba ni watani lakini mropokaji anaona ni uadui kwa kauli zake...
SawaNi Haji Manara ndiye aliyewaambia muwe mnawapiga mashabiki wa Simba? Zamu yenu ni kesho, njoo kiboya boya kwa Mkapa upate cha mtemakuni.
Mropokaji wetu yupi tena!?Kama mropokaji wenu ataendelea kutengeza chuki Hilo linaweza kutokea...Yanga na Simba ni watani lakini mropokaji anaona ni uadui kwa kauli zake...
Wewe uliepo Ugala huko unatupiga biti watu Wananchi wa Dar tusiende Taifa?Kama huna viza ya kuingia Tz kesho usije taifa. Litakalo kupata hutosahau.
Kushangilia ni uwanjani, lkn issue ya kwenda hadi airport ni kukosa kazi.Mlipo kua mnashangilia mazembe hili hamkulijua
kukosa kwao kazi wwe kuna ku athiri nn..au huwa wanakuja kula kwako?Kushangilia ni uwanjani, lkn issue ya kwenda hadi airport ni kukosa kazi.
kk wtz wote tushabikie simba.😂😂😂😂 kwani mlivokua mnashangilia pyramids hamkujua kua utani wa namna hii unakera? 🤣🤣Ndio shida ya kutokuwa na waziri wa michezo mpaka sasa,haiwezekani serikali inyamazie uhaini wa kijinga namna hii,hii ni aibu kubwa kwa nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyura FC katiba ubora wao.Kama kuna wajinga nchi hii ni utopolo ,hizi mechi za kimataifa tumewabeba ,kuna video kwenye mitandao wameenda kuwapokea planteau airport huku wakiimba Planteu !Planteu! Simba underdog,tunakoelekea si pazuri kama imefika hatua hii.
Sijui mashabiki wa Simba kesho watavumiliaje mwenye jezi ya kijani au njano anakaa jukwaani.
Huu ni uwendawazimu ,hawa wehu wamezoea kupokea na kubeba watu airport kama watumwa ,huu ni utumwa wa akili
😂😂😂usikute kuna ndugu zako wanashabikia hiyo utopolo...na wao akil zao zimejaa mavi 😂😂Mdo pumba zenu utopolo akili zimejaa mavi
😂😂😂usikute kuna ndugu zako wanashabikia hiyo utopolo...na wao akil zao zimejaa mavi 😂😂Mdo pumba zenu utopolo akili zimejaa mavi
Kama kuna wajinga nchi hii ni utopolo ,hizi mechi za kimataifa tumewabeba ,kuna video kwenye mitandao wameenda kuwapokea planteau airport huku wakiimba Planteu !Planteu! Simba underdog,tunakoelekea si pazuri kama imefika hatua hii.
Sijui mashabiki wa Simba kesho watavumiliaje mwenye jezi ya kijani au njano anakaa jukwaani.
Huu ni uwendawazimu ,hawa wehu wamezoea kupokea na kubeba watu airport kama watumwa ,huu ni utumwa wa akili