Yanga yawapokea Plateau airport kwa shangwe

Yanga yawapokea Plateau airport kwa shangwe

Mdo pumba zenu utopolo akili zimejaa mavi
Mbona hujiamini wewe si unateam nzuri,ionyeshe uwanjani achana na Mashabiki wa Yanga.

Tatizo lenu mnasahau kwa Pyramids na Mazembe,yani Yanga kufanya kile mkichowafanyia nyie wakati wa Pyramids na Mazembe mnawaita si wazalendo.

Cheza mpira huwezi kumzuia mtu wakati ana angalia mpira kwa hela yake.
 
Umbumbumbu wa Mikia sasa umezidi kiwango. Au wanajifanya hawana kumbukumbu.

Hawakumbuki kwamba walichofanya akina Kindoki, walishakifanya siku za nyuma. Kwao ilikuwa sawa. La sasa limekuwa dramatised sana na uwepo wa mitandao na video clips.

Kunya, anye kuku, bata anaharisha tu.
 
Kama mropokaji wenu ataendelea kutengeza chuki Hilo linaweza kutokea...Yanga na Simba ni watani lakini mropokaji anaona ni uadui kwa kauli zake...
Ni Haji Manara ndiye aliyewaambia muwe mnawapiga mashabiki wa Simba? Zamu yenu ni kesho, njoo kiboya boya kwa Mkapa upate cha mtemakuni.
 
Mikia wanatetemeka???kesho tukutane kwa mkapa halafu tuone kama kuna dada atainua mkono wake kwangu na uzi wa plateu nnao,mbumbumbu wanajisahaulisha ya nyuma
 
Kama mropokaji wenu ataendelea kutengeza chuki Hilo linaweza kutokea...Yanga na Simba ni watani lakini mropokaji anaona ni uadui kwa kauli zake...
Mropokaji wetu yupi tena!?
Timu yangu Mbeya City iko hoi,sipo huko kwenu.
 
Ndio shida ya kutokuwa na waziri wa michezo mpaka sasa,haiwezekani serikali inyamazie uhaini wa kijinga namna hii,hii ni aibu kubwa kwa nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna wajinga nchi hii ni utopolo ,hizi mechi za kimataifa tumewabeba ,kuna video kwenye mitandao wameenda kuwapokea planteau airport huku wakiimba Planteu !Planteu! Simba underdog,tunakoelekea si pazuri kama imefika hatua hii.

Sijui mashabiki wa Simba kesho watavumiliaje mwenye jezi ya kijani au njano anakaa jukwaani.

Huu ni uwendawazimu ,hawa wehu wamezoea kupokea na kubeba watu airport kama watumwa ,huu ni utumwa wa akili
Vyura FC katiba ubora wao.

Mpira wa bongo ni majanga!
 
Yanga (utopolo)hawana tofauti na CCM ....AKILI ZAO WAMESHIKIWA
 
Mimi ni Yanga kindakindaki.To be honest aliyetufikisha hapa ni yule zeluzelu,jina mfukoni haaaahaaahaaa
Kama kuna wajinga nchi hii ni utopolo ,hizi mechi za kimataifa tumewabeba ,kuna video kwenye mitandao wameenda kuwapokea planteau airport huku wakiimba Planteu !Planteu! Simba underdog,tunakoelekea si pazuri kama imefika hatua hii.

Sijui mashabiki wa Simba kesho watavumiliaje mwenye jezi ya kijani au njano anakaa jukwaani.

Huu ni uwendawazimu ,hawa wehu wamezoea kupokea na kubeba watu airport kama watumwa ,huu ni utumwa wa akili
 
Oscar aliwahi kusema toka hawa jamaa waanze kudhaminiwa na GSM zile msg za "ile pesa tuma kwenye namba hii" zimepungua sana.
 
Back
Top Bottom