Yanga yawapokea Plateau airport kwa shangwe

Yanga yawapokea Plateau airport kwa shangwe

Eyamael hakuwataja wanayanga kuwa ni manyani ..aliwataja mashabiki na mashabiki hao wengi ni Watanzania ambao wengi wao ni blacks ukiwemo wewe Bila Shaka...kwa hiyo mbumbumbu wa mikia kufurahia eti Yanga mashabiki wao wameitwa manyani ni kielelezo Cha upeo wa chini kabisa wa kufikiri..kimsingi ni ujinga...yaani mzungu anakuja hapa kutoka ulaya halafu anamtamkia mfanyakazi mmoja mtanzania mmoja mweusi kuwa wewe ni nyani halafu weusi wengine wanamcheka yule aliyeitwa nyani kwa kuzomea mitaani kuwa umeitwa nyani...ni dhahiri hapa lipo tatizo kwa wale wanaomzomea mwenzao aliyeitwa nyani..
Wewe ndio nyani kubwa lililotajwa, waliomzomea Eymael ni washabiki wa utopolo tena baada ya kufanya sub ambayo mashabiki hawakuitaka na hawakuishia kumzomea walimtupia chupa za maji kauli yake iliwalenga utopolo ila kwa sababu ni uneducated kama alivyowaambia mnataka kufanya ukweli mlioambiwa maana hamkutukanwa mliambiwa ukweli mkataka kuifanya utopolo ni Tanzania.
Kila siku zinavyoenda ukweli unaonekakq nyinyi ni majibwa mnabweka bweka mnapiga kelele kama manyani na ni uneducated pambaneni na hali yenu
 
Kama kuna wajinga nchi hii ni utopolo ,hizi mechi za kimataifa tumewabeba ,kuna video kwenye mitandao wameenda kuwapokea planteau airport huku wakiimba Planteu! Planteu! Simba underdog, tunakoelekea si pazuri kama imefika hatua hii.

Sijui mashabiki wa Simba kesho watavumiliaje mwenye jezi ya kijani au njano anakaa jukwaani.

Huu ni uwendawazimu, hawa wehu wamezoea kupokea na kubeba watu airport kama watumwa huu ni utumwa wa akili
Si kuwapokea tu waliwaibia simu wageni wao, Utopolo siyo watu wazuri
 
Back
Top Bottom