Jimmy Kindoki mjomba wa kaka yake babu yake,ambaye ni baba mkubwa wa shangazi ambaye mjomba wa babu yake ni Mnaijeria.
Huyo Frank Yanga babu wa babu yake ambaye shangazi yake upande wa mama ambaye mama yake mdogo bibi yake ni Mnaijeria.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] upo hapo.
So msiwachagulie watu timu za kushangilia.
Mechi ya Yanga na Mazembe ,Manji alilipa siti zote 60 elfu kwa ajili ya Wanayanga,ila Simba nao walivamia na kuingia bure na kushangilia wakaishangilia Mazembe,ina maana Simba walikuwa Wakongo.
Cheza mpira ukitaka kuwafunga mdomo Yanga wewe unachotakiwa kushinda.