Au mnataka tu mkaone mechi ya kimataifa nyie mmezoea ndondo cupMlivyomchukua morisson kijasusi vita ilianza pale rasmi na tuliapaaa kutofungamana na mikia kwa lolote...
Acha waje. Tunawafunga then tunawabutua wakome tabia za KIKEMkuu mbona unalazimisha watu kushangilia timu fulani?
Kuna wageni toka Nigeria wanaishi bongo ni vibaya ku-support timu yao?
Mkuu mbona kuna mashabiki wa Bayern, Barcelona, Napoli, n.k bongo na hatushangai?
Uneducated people, Mi nyan ya kubwekabweka maneno kutoka kwa yule team coach wenuMlivyomchukua morisson kijasusi vita ilianza pale rasmi na tuliapaaa kutofungamana na mikia kwa lolote...
Muda umebaki mfupi watajutia nauli zao za kwenda AirportKama kuna wajinga nchi hii ni utopolo ,hizi mechi za kimataifa tumewabeba ,kuna video kwenye mitandao wameenda kuwapokea planteau airport huku wakiimba Planteu !Planteu! Simba underdog,tunakoelekea si pazuri kama imefika hatua hii..
Mlipo kua mnashangilia mazembe hili hamkulijuaMda umebaki mfupi watajutia nauli zao za kwenda Airport
Na kweli ni unyani kumpangia mtu timu ya kushabikiaUshamba kama huu ndo unatufanya wa-Africa tuonekane manyani tu
Mlipo kua mnashabikia mazembe ilikua ujanja?Ushamba sana huu
'' Kama manyani, yanabwekabweka tu'' DjMlivyomchukua morisson kijasusi vita ilianza pale rasmi na tuliapaaa kutofungamana na mikia kwa lolote...