Yanga yawapokea Plateau airport kwa shangwe

Kina Jimmy Kindoki na Frank yanga ni wanaijeria ?wamefanya msafara wanawapigia makofi wanaijeria wakasuswa tu kama hawajaonwa ,inatia aibu
Usimpangie mtu cha kufanya...aibu anatia yye kubweka unabweka wwe
 
Sasa utumwa gani, kwani kuna mtu anapangiwa akampokee nani airport. Halafu nani kakuambia Yanga na Simba wanapendana.
 
ndiyo njia yao pekee kushiriki kimataifa!!
 
Vifo vishawai tokea katika soka huko Misri kutokana na mashabiki..
Hatuko mbali sana na hilo,kama naliona linakuja soon mambo yakiendelea hivi.
Uwanja wa Mkapa,iko siku yatatokea ya kutokea,maana sio utani wa jadi tena ni vita.
Idara husika i stabilize mambo.
 
Kama mropokaji wenu ataendelea kutengeza chuki Hilo linaweza kutokea...Yanga na Simba ni watani lakini mropokaji anaona ni uadui kwa kauli zake...
 
Kina Jimmy Kindoki na Frank yanga ni wanaijeria ?wamefanya msafara wanawapigia makofi wanaijeria wakasuswa tu kama hawajaonwa ,inatia aibu
Jimmy Kindoki mjomba wa kaka yake babu yake,ambaye ni baba mkubwa wa shangazi ambaye mjomba wa babu yake ni Mnaijeria.

Huyo Frank Yanga babu wa babu yake ambaye shangazi yake upande wa mama ambaye mama yake mdogo bibi yake ni Mnaijeria.

😎😎😎😎 upo hapo.


So msiwachagulie watu timu za kushangilia.

Mechi ya Yanga na Mazembe ,Manji alilipa siti zote 60 elfu kwa ajili ya Wanayanga,ila Simba nao walivamia na kuingia bure na kushangilia wakaishangilia Mazembe,ina maana Simba walikuwa Wakongo.Hawakuzuiwa wameingia bure,wakaishangilia Mazembe na wakaondoka bila kubughuziwa.

Cheza mpira ukitaka kuwafunga mdomo Yanga wewe unachotakiwa kushinda.
 
Mdo pumba zenu utopolo akili zimejaa mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…