Mnakuja kufanya nini? Match yenu ni kesho dhidi ya Ruvu Shooting sio leoUpo uwezekano kesho Simba itanyang'anywa points kwa kitakachotokea uwanjani..
Walikuwa Yanga BombaMlipo ishabikia tp mazembe mlikua mmelewa?
Wewe unafikiri mashabiki wanakuja kufanya Nini huko uwanjani?Mnakuja kufanya nini? Match yenu ni kesho dhidi ya Ruvu Shooting sio leo
Nyie mnakuja ili mtuibie simu hamna kazi ndio maana muda wa kazi mnajaa airportWewe unafikiri mashabiki wanakuja kufanya Nini huko uwanjani?
Bila picha siwezi kuaminiKama kuna wajinga nchi hii ni utopolo ,hizi mechi za kimataifa tumewabeba ,kuna video kwenye mitandao wameenda kuwapokea planteau airport huku wakiimba Planteu! Planteu! Simba underdog, tunakoelekea si pazuri kama imefika hatua hii.
Sijui mashabiki wa Simba kesho watavumiliaje mwenye jezi ya kijani au njano anakaa jukwaani.
Huu ni uwendawazimu, hawa wehu wamezoea kupokea na kubeba watu airport kama watumwa huu ni utumwa wa akili
Nina wasiwasi na kiwango chako Cha elimu...upeo wako wa kufikiri na kuchambua Mambo nina wasiwasi nao pia...Mtu makini na mwenye hoja hawezi kuwasilisha hoja ya Aina hiyo... Watu huwa wanaandamana na timu zao zinapocheza nje ya vituo vyao ina maana wale watu au mashabiki hawana ajira wote?...kuipokea timu kutoka nje ina maana hawana ajira?! Kwani Nini maana ya ajira? Mtu Nina shughuli zangu zinazoniingiza kipato je hiyo haiwezi kuitwa ajira?! Nini maana ya self employment au self employed?! Wanasimba wa Dar es Salaam wakienda kushangilia Simba dhidi ya Mtibwa kule Morogoro ina maana wote wale hawana ajira?Nyie mnakuja ili mtuibie simu hamna kazi ndio maana muda wa kazi mnajaa airport
Huu uadui manara ndo anautengeneza, sema tu hamlioni hiloVifo vishawai tokea katika soka huko Misri kutokana na mashabiki..
Hatuko mbali sana na hilo,kama naliona linakuja soon mambo yakiendelea hivi.
Uwanja wa Mkapa,iko siku yatatokea ya kutokea,maana sio utani wa jadi tena ni vita.
Idara husika i stabilize mambo.
Wewe kama una ajira yako unaweza kuhangaika na mtunambaye hakujui wala una uhusiano naye, ukishanijibu ndio nitajua oama ni kayumba au la.Nina wasiwasi na kiwango chako Cha elimu...upeo wako wa kufikiri na kuchambua Mambo nina wasiwasi nao pia...Mtu makini na mwenye hoja hawezi kuwasilisha hoja ya Aina hiyo... Watu huwa wanaandamana na timu zao zinapocheza nje ya vituo vyao ina maana wale watu au mashabiki hawana ajira wote?...kuipokea timu kutoka nje ina maana hawana ajira?! Kwani Nini maana ya ajira? Mtu Nina shughuli zangu zinazoniingiza kipato je hiyo haiwezi kuitwa ajira?! Nini maana ya self employment au self employed?! Wanasimba wa Dar es Salaam wakienda kushangilia Simba dhidi ya Mtibwa kule Morogoro ina maana wote wale hawana ajira?
Ninajua umeandika hivyo kwa kuwa anayejiita mchambuzi mmoja ameandika hivyo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao mmoja...lakini itoshe tu kusema wachambuzi wetu ambao baadhi yao ni uchwara ni sehemu ya tatizo la soka la Tanzania....upeo wao wa kuchambua issues ni wa kiwango Cha chini mno...katika hili kwa mfano ilipaswa mchambuzi achambue sababu hasa zilizowafanya baadhi ya wanayanga kwenda Airport kuwapokea Plateau Jambo ambalo siyo la kawaida...Sasa basi mchambuzi anaishia kusema tu walikkwenda airport hawana ajira huyo ni mchambuzi ambaye anazo sifa zote za mchambuzi uchwara...
Manara ameshamshambulia shabiki wa yanga au kumpiga, kocha wenu hakukosea akili za binadamu.na nyani ni tofautiHuu uadui manara ndo anautengeneza, sema tu hamlioni hilo
Manara ameshamshambulia shabiki wa yanga au kumpiga, kocha wenu hakukosea akili za binadamu.na nyani ni tofauti
We jamaa kumbe ni wa hovyo sana.Manara ameshamshambulia shabiki wa yanga au kumpiga, kocha wenu hakukosea akili za binadamu.na nyani ni tofauti
We umaana wako uko wapiWe jamaa kumbe ni wa hovyo sana.
Ana kauli za kuchochea uadui, na siyo za utani wa jadiManara ameshamshambulia shabiki wa yanga au kumpiga, kocha wenu hakukosea akili za binadamu.na nyani ni tofauti
Kama una akili zako hata mtu afanyeje hawezi kukubadilisha, kama wanasiasa au watu wa dini wameshindwa kukubadilisha iweje leo Manara akukereAna kauli za kuchochea uadui, na siyo za utani wa jadi
Eyamael hakuwataja wanayanga kuwa ni manyani ..aliwataja mashabiki na mashabiki hao wengi ni Watanzania ambao wengi wao ni blacks ukiwemo wewe Bila Shaka...kwa hiyo mbumbumbu wa mikia kufurahia eti Yanga mashabiki wao wameitwa manyani ni kielelezo Cha upeo wa chini kabisa wa kufikiri..kimsingi ni ujinga...yaani mzungu anakuja hapa kutoka ulaya halafu anamtamkia mfanyakazi mmoja mtanzania mmoja mweusi kuwa wewe ni nyani halafu weusi wengine wanamcheka yule aliyeitwa nyani kwa kuzomea mitaani kuwa umeitwa nyani...ni dhahiri hapa lipo tatizo kwa wale wanaomzomea mwenzao aliyeitwa nyani..Wewe kama una ajira yako unaweza kuhangaika na mtunambaye hakujui wala una uhusiano naye, ukishanijibu ndio nitajua oama ni kayumba au la.
Uwezo wenu wa kufikiri alishasema Eymael mkasingizia ni ubaguzi ila kadri siku zinavyoenda ukweli unakuwa waxi.
Ushabiki haujaanza leo hicho mlichofanya ni upumbavu kabisa mmevuka mipaka.kk wtz wote tushabikie simba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani mlivokua mnashangilia pyramids hamkujua kua utani wa namna hii unakera? [emoji1787][emoji1787]