Huu ni ujinga mtupu sijui ni kukosa kazi YANGA YANGA badala muweze mkate wa watoto wenu mnawaza litimu la kiswahili kama hili,kweli mashabiki mengi ya YANGA absolutely jobless.
Wanasema tusipangiane maisha au vitu vya kufanya, lakini ukweli usemwe! Hivi mtu na Akili zako timamu unaenda kukesha Airport kupokea timu ya mpira. Huo ni ushamba na niujinga.