utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu.
Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo..
Vipi maoni yako? Je Yanga wako sahihi kuwafanyia Simba hivi? Au huu ni udhalilishaji?