utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Utoto na ushamba...ni akili za viongozi wa kizazi cha smartphone.Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu.
Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo..
Vipi maoni yako? Je Yanga wako sahihi kuwafanyia Simba hivi? Au huu ni udhalilishaji?
View attachment 2971704
Umeambiwa season ya 20213/2024Hakuna mechi Simba amewahi kufungwa goli 7 , huu ni udhalilishaji na hatutakubali
View attachment 2971707
Dua la kukuHilo bango na linyewe na makunguru...
Shubamitiiii