Yanga yaweka record duniani kujaza viwanja viwili Kwa wakati mmoja

Ticket hazikuisha, ila wanaimba tumejaza uwanja!! Napata shida sana kuwaelewa,uwanja wa uhuru watu waliingia bure, wenye ticket Ndio waliingia mkapa, na ticket zaidi ya 10k hazikuuzwa, mlijazat kiaje huo uwanja?
Uwanja wa uhuru ni Kwa wale walikosa ticket....but walikuwa na hamu ya kushiriki
 
Masuala haya ya u-Yanga na u-Simba ndio yanayochangia kwa kiasi kikubwa Sana kudumaza akili za wa-Tanzania. Badala ya muda mwingi kuwaza mambo ya msingi yahusuyo maendeleo chanya ya maisha yao watu wamekuwa wakijikita kwenye masuala haya ya kipuuzi ya Yanga na Simba.
 
Sio wote lazima wawaze kama ww[emoji23][emoji23]
 
Kwani gemu ilikuwa inachezewa uwanja wa uhuru? Acheni undezi Yanga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…