Yanga yaweka record duniani kujaza viwanja viwili Kwa wakati mmoja

Yani nyie huyo Haji Manyara amewashkia akili kias hicho 😅 tickets ziko elfu 60 tu ambazo ni uwanja wa Ben Mkapa, huko kwingne wameingia kwa tickets za nan !? Za wap !? Moreover hata huo uwanja wa Ben Mkapa hamuwezi kuujaza nyie kwa viingilio amini kwamba mnafungulia dog tu 😅

Tickets elfu60 zinajaza viwanja viwili 😅😅😅🙌
 
Wale walitoa kiingilio private
 
Licha ya fungulia mbwa. Watu walikuwa kwenye pitch na sio majukwaa ndio mnasema mmejaza uwanja? Mnadhalilisha taifa acheni hizo.
Kwa huu wivu ni lazima uugue magonjwa ya moyo, kwenye 'pitch' ipi kulikuwa na watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…