Yanga yaweka record duniani kujaza viwanja viwili Kwa wakati mmoja

Sijambo dada angu! Naona mnabishana kuhusu Simba na Yanga mimi nitaongea tar 8 mechi ikiisha😂
Yaniiii...midomo itaamua siku hyo...watu watakesha wakisengenya pande itakayopata kipondo ..😃😃😃kazi ipo ngoja tusubiri
 
Wazee wa kuingia bure na kufinyiwa tiketi kwenye chapati.
 
Km Tickets hazikuuzwa zote, huko kujaza uwanja ni kupiii?
Em mtutolee futuhi zenu hapaa!! LOL
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ziliuzwa zote mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…