Yanga yaweka record duniani kujaza viwanja viwili Kwa wakati mmoja

Yanga yaweka record duniani kujaza viwanja viwili Kwa wakati mmoja

Sijambo dada angu! Naona mnabishana kuhusu Simba na Yanga mimi nitaongea tar 8 mechi ikiisha😂
Yaniiii...midomo itaamua siku hyo...watu watakesha wakisengenya pande itakayopata kipondo ..😃😃😃kazi ipo ngoja tusubiri
 
Wazee wa kuingia bure na kufinyiwa tiketi kwenye chapati.
 
Back
Top Bottom