Yanga yaweka record nyingine CAFCC

Yanga yaweka record nyingine CAFCC

Inasaidia nn zikitoka takwimu simba ipo 5 bora Caf champions league mnapinga mnasema haisaidii chochote haya kwa hyo record mmepata kiasi gani.
 
1) Yanga imekuwa timu ya Kwanza (CAF) kuwafunga Rivers United nyumbani kwao.

2) Imekuwa timu ya kwanza kuwazuia Rivers Utd kufunga bao (CAF) wakiwa kwao

Haya ni matokeo ya Rivers United wakiwa nyumbani kwao kwa msimu huu kwenye mashindano ya interclub.
Rivers 2 - 1 Wydad Casablanca
Rivers 5 - 0 Al Nasr 3
Rivers 3 - 0 ASEC Mimosas
Rivers 3 - 1 Motema pembe.
Rivers 2 - 2 Diables Noirs
Rivers 0 - 2 Yanga SC
Goli mbili za kombe la shirikisho au luzaz
Ni sawa na shot on target 1 ya klabu bingwa CAFCL[emoji1787][emoji1787]
 
Goli mbili za kombe la shirikisho au luzaz
Ni sawa na shot on target 1 ya klabu bingwa CAFCL[emoji1787][emoji1787]
Kuna aliyekuuliza? Yanga akiichukua hili kombe sijui sura zenu mtazifichia kwenye kichaka gani na robo fainali zenu miaka nenda rudi.
 
Ila Jana tungefungwa sijui ingekuwaje maana hawa ndugu zetu juzi wameshinda lkn hawana furaha huku ss tumeshinda na tuna furaha
 
Kuna aliyekuuliza? Yanga akiichukua hili kombe sijui sura zenu mtazifichia kwenye kichaka gani na robo fainali zenu miaka nenda rudi.
Sasa hiko sio kipaombele cha simba,

Shirikisho ni maalumu kwa timu ndogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila Jana tungefungwa sijui ingekuwaje maana hawa ndugu zetu juzi wameshinda lkn hawana furaha huku ss tumeshinda na tuna furaha
Nyeeeeeeeeeeee.....furaha muitoe wapi?????

Kibudenga mkandaji
ahmedally_-20230424-0001.jpg
 
Back
Top Bottom