technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika na ya 9 Duniani kucheza mechi nyingi bila kufungwa, Mechi 39 nyuma ya Chelsea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Vile viwili vya Mkwezi mlivyowekwa na Vipers Mlivichomoa..?Yanga imekuwa timu ya kwanza Africa na ya 9 Duniani kucheza mechi nyingi bila kufungwa, Mechi 39 nyuma ya chelsea.
Hatukuvichomoa mkuu, Ila tulikuja tukapiga viwili maridadi kabisa vya mkwezi 13/08/2022Hivi Vile viwili vya Mkwezi mlivyowekwa na Vipers Mlivichomoa..?
Ona huyu Kolo, yalikuwa mashindano ganiHivi Vile viwili vya Mkwezi mlivyowekwa na Vipers Mlivichomoa..?
Hii ni rekodi ya ligi tu.Hii rekodi nna wasiwasi nayo. Maana tulipigwa na rivers na pia azam alitupiga pale Zanzibar
Rivers na Vipers wakisikia hili watashangaa sanaYanga imekuwa timu ya kwanza Afrika na ya 9 Duniani kucheza mechi nyingi bila kufungwa, Mechi 39 nyuma ya Chelsea.
Kwan wamesema mashindano au match? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ona huyu Kolo, yalikuwa mashindano gani
💛💚💛💚💛💚💛💚Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika na ya 9 Duniani kucheza mechi nyingi bila kufungwa, Mechi 39 nyuma ya Chelsea.
Shindeni CAF mtambulike, hizo rekodi haziipaishi timu na ndio maana hata kuchaguliwa top clubs au CAF Super Cup kuna vigezo tofauti kabisa na hizo rekodiYanga imekuwa timu ya kwanza Afrika na ya 9 Duniani kucheza mechi nyingi bila kufungwa, Mechi 39 nyuma ya Chelsea.