Yanga yaweka rekodi mpya ya Dunia

Yanga yaweka rekodi mpya ya Dunia

Mimi ni Kolo FC Ila Kiukweli wenzetu Utopolo wametuacha mbali kweli.. yaan Wana makombe yakutosha na bado Wanarekodi za kibabe.. na bado tukikutana nao wanatufunga Matobo na magoli.. Duuhh hawa utopolo wameshindikana
 
Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika na ya 9 Duniani kucheza mechi nyingi bila kufungwa, Mechi 39 nyuma ya Chelsea.
Shindeni CAF mtambulike, hizo rekodi haziipaishi timu na ndio maana hata kuchaguliwa top clubs au CAF Super Cup kuna vigezo tofauti kabisa na hizo rekodi
 
Back
Top Bottom