Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibie Guede kakukaa kumoyo aisee...Uzi umenyoooookaaa!! nimependa rangi yake💚💛
Guede angevaa ungemkaa angewaka Kinyama..!☺️
Hatimae baada ya Simba kuzindua jezi zake, leo Yanga wameachia jezi zao. Je unaonaje ubora na ubunifu uliotumika msimu huu?
View attachment 3053874
Jezi Au batiki hilo.Uzi umenyoooookaaa!! nimependa rangi yake💚💛
Guede angevaa ungemkaa angewaka Kinyama..!☺️
Bro nitofautishie jezi yako na Kitenge cha shughuli ya Mama MwajumaMmeshaanza. Hivi mazishi ni lini? Maana sanda zipo tayari.
Kono la nyani ndan ya jeziYa njano nzuri,
Ya kijani imekaa Kama waxi
Uzuri wa kitu upo machoni pa mtu, Kama unaona ni batiki kanunue ushone gauni..!Jezi Au batiki hilo.
Ntamnunulia wifi yako,sio Mbaya maana na yeye ni UtoUzuri wa kitu upo machoni pa mtu Kama unaona ni batiki kanunue ushone gauni