Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
Batiki fcHii Jezi Au Batiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Batiki fcHii Jezi Au Batiki?
Kama vile fundi Maiko kaunga unga na vitengeHii Jezi Au Batiki?
Wazee wa sandaTenge la wax
Sanda za maitiHii ndo jezi sasa sio ile sanda
Sema bonge la batiki au kitenge cha wax bwanBonge la Jessy
Ya kijani nimeikubali zaidi ...Ya njano nzuri,
Ya kijani imekaa Kama waxi
Tunanunuwa wapi?! YangaHatimae baada ya Simba kuzindua jezi zake, leo Yanga wameachia jezi zao. Je unaonaje ubora na ubunifu uliotumika msimu huu? Home and Away kit.
View attachment 3053874View attachment 3053879View attachment 3053883View attachment 3053884
Uzinduzi utafanyika Yanga day.View attachment 3053880
Huu wa juu nimeukubali (kuna watu wamekasirika........huu uzi unawakumbusha maumivu.......ila huo ndio ubunifu........) na huu tarehe nane tunaingia nao huu huu.
Halafu huu hapa, hata material yapo vizuri.
View attachment 3053881
Inatakiwa kesho na Kaizer tuzitumie jezi hizi.
5 🕠 five hamsa inaumaJezi mbovu katika historia ya soka
Yaaan Fundi Maiko akiunga hayo matambala Ndio anapata jeziKama vile fundi Maiko kaunga unga na vitenge
Sasa na nyie hilo tenge kama mnaenda kwenye jumuiya jumamosiWazee wa sanda
Hivi mliwaza nn jez mkaandika sanda?
Ubaya ubwela
Mh!!Hatimae baada ya Simba kuzindua jezi zake, leo Yanga wameachia jezi zao. Je unaonaje ubora na ubunifu uliotumika msimu huu? Home and Away kit.
View attachment 3053874View attachment 3053879View attachment 3053883View attachment 3053884