PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Na hizo tano tano ni akili za Ali KamweUzi.mzuri ila inakuwa mbaya na zile 5 5 nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hizo tano tano ni akili za Ali KamweUzi.mzuri ila inakuwa mbaya na zile 5 5 nyingi
Twende tukavae SANDA tukiwa bado hai kwa ajili ya kupata uzoefu wa kuvikwa SANDA kabla ya kufa!Kama ulidhani batiki haiwezi kutengeneza jezi basi leo zimezinduliwa.
Batiki hoyee,kina mama hoyee!
Mwamba Ngoma , ngozi huvutia kwake.Daah! Usimba na Uyanga unatumaliza. Lol.
😅😅😅
Kabisa Mkuu.Mwamba Ngoma , ngozi huvutia kwake.
Jezi zetu Kali kuliko sanda zao.
😂😂😂Wanasimba wenzangu Tunajifariji kuuita uzi wa Yanga ni kitenge/Khanga/Batiki lakini tukikumbuka jezi yetu inaitwa SANDA nachoka kabisa...
Hawatakaa wasahau. Ndo maana wameamua kuweka mpaka kwenye sanda zao kabisa 😁😁😁5 🕠 five hamsa inauma
Imezindua jezi au sare za mbio za Mwenge?Hatimae baada ya Simba kuzindua jezi zake, leo Yanga wameachia jezi zao. Je unaonaje ubora na ubunifu uliotumika msimu huu? Home, Away and 3rd kit.
View attachment 3053874View attachment 3053879View attachment 3053883View attachment 3053884View attachment 3053908View attachment 3053909