Yanga yazindua jezi zake leo 27/07/2024

Yanga yazindua jezi zake leo 27/07/2024

Rangi zimezubaa... color za YANGA hata uchanganye vipi hazivutii...Muangalie CHAMA ndani ya uzi wa utopolo na enzi akiwa ndani ya uzi wa MNYAMA ndio utanielewa..
 
Hutaki jinyonge
 

Attachments

  • Screenshot_20240727_202658_Chrome.jpg
    Screenshot_20240727_202658_Chrome.jpg
    473 KB · Views: 1
Toka Yanga waanze kuchukua wachezaji Congo 🇨🇩 .. Wameamua kuchukua na vitenge vya kuunda madera na magauni.

Pale hakuna jersey 🇯🇪.
 
Hatimae baada ya Simba kuzindua jezi zake, leo Yanga wameachia jezi zao. Je unaonaje ubora na ubunifu uliotumika msimu huu? Home, Away and 3rd kit.
View attachment 3053874View attachment 3053879View attachment 3053883View attachment 3053884View attachment 3053908View attachment 3053909
Kwa ninj
Hatimae baada ya Simba kuzindua jezi zake, leo Yanga wameachia jezi zao. Je unaonaje ubora na ubunifu uliotumika msimu huu? Home, Away and 3rd kit.
View attachment 3053874View attachment 3053879View attachment 3053883View attachment 3053884View attachment 3053908View attachment 3053909
Mimi ni yanga .Hii mijezi ya ovyo.Ubunifu umekosekana .Kwa nini jezi inakuwa na michoro kibao isiyo eleweka?.Rangi za club zinafahamika hizi rangi nyingine zinatoka wapi?Namba tano kwenye Jezi ya Nini?Kama uyo mbunifu kazi imemshinda aachie ngazi.Nitanunua jezi kwa kuwa ni ya Timu yangu pendwa.Ila kuhusu uzuri na ubunifu kwenye jezi hizi mpya(2024/2025) ni sifuri.Nimeboreka kweli tena sana sana .Uzi nitanunua kwa kinyongo sana.
 
Hivi chama kulikua na ulazima wa kumuweka hapo maana ni kipigo kikali kwa sanda fc bado aziz k uwiii mwaseeeeeeeeebuuuuuuu hana hamu
 
Unajua namna hii hadi naona kabisa kuwa mlibahatisha zile 5. Hadi mko hamwamini. Mnasheherekea sana, b... huoni hiyo?

Ova
Kwani 5 tuliwafunga nyie pekee b…? Mbona kama nyie ndio mnajishtukia?

Mi hapo naona hiyo jezi ni kuenzi msimu uliopita ambao tuligawa dozi ya 5,5!

Kwa hiyo huninunulii hiyo b…?
 
Back
Top Bottom