Yanga yazindua jezi zake leo 27/07/2024

Yanga yazindua jezi zake leo 27/07/2024

FB_IMG_1722099140297.jpg
 
Wazee wa sanda
Hivi mliwaza nn jez mkaandika sanda?
Ubaya ubwela
Zungumzia hizi basi. Kuna kitenge, halafu kuna moja ina rangi nyeupe za Simba zilizopigwa marufuku kwenye katiba ya Yanga
 
Wale wajinga uzi una matangazo kama mabango wanawapa mademu wavae uonekane mzur Inatakiwa wavae wachezaj
 
Back
Top Bottom