Yanga yazindua jezi zake leo 27/07/2024

Yanga yazindua jezi zake leo 27/07/2024

View attachment 3053880
Huu wa juu nimeukubali (kuna watu wamekasirika........huu uzi unawakumbusha maumivu.......ila huo ndio ubunifu........) na huu tarehe nane tunaingia nao huu huu.

Halafu huu hapa, hata material yapo vizuri.
View attachment 3053881

Inatakiwa kesho na Kaizer tuzitumie jezi hizi.

Hii jezi kali sanaaaa sanaaa, kesho naenda kununua ya familia nzima kabisa
 
Screenshot_20240618-111545.png

mali iyo inaambatana na jezi mpya... 20k tu matajiri Zinatumia battery ama Usb yake iliyokuja nayo na znawaka rangi 7 au ukitaka rangi moja
 
Utakufa wewe
sisi si mnasema tunabatiki sawa nyinyi hiyo sanda nani atakufa sasa ikiwa mshono wenu wa 7 kwa 2 bado haujashika vizuri!,na mnasema ubaya ubwela vipi mnataka kufa na tai shingoni au..?
 
Back
Top Bottom