Yanga yazindua jezi zake leo 27/07/2024

Wananchi kwenye upande wa uzi ni noma aisee.
Kila msimu wanabadilika, sio kama upande wa pili jezi ya misimu miwili iliyopita ni sawa na ya msimu na msimu huu.
Wanaongeza idadi ya matangazo na maneno mapya(sanda)
 

Huu wa juu nimeukubali (kuna watu wamekasirika........huu uzi unawakumbusha maumivu.......ila huo ndio ubunifu........) na huu tarehe nane tunaingia nao huu huu.

Halafu huu hapa, hata material yapo vizuri.


Inatakiwa kesho na Kaizer tuzitumie jezi hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…