Yani Dar ndiyo imeshikilia uchumi wa Tanzania!

Yani Dar ndiyo imeshikilia uchumi wa Tanzania!

hata mimi nashangaa, kwanza rais mwenyewe akisema... nadhani Dar ndiyo tu sehemu kuna activity serious ya uchumi

Kwa maana hiyo imebidi niwaelewe kwanini wasifunge Dar, nchi itarudi kwenye level iliyokua enzi za ujamaa wa Nyerere yaani ukata..umaskini wa mwisho.
 
Kwa maana hiyo imebidi niwaelewe kwanini wasifunge Dar, nchi itarudi kwenye level iliyokua enzi za ujamaa wa Nyerere yaani ukata..umaskini wa mwisho.
Ulitakaje sasa mzee

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
80%? Really?? Hivyo mikoa mingine yote ni mzigo pamoja na kwamba hiyo mikoa ina migodi, utalii, kilimo na mambo mengine mengi....
Swali la kizushi tu, mazao yanayolimwa Tanzania, entry of export ni wapi? Watalii wanaokuja Tanzania entry of entrance ni wapi? Madini yanayochimbwa nchini entry of cashing ni wapi?

Ukiwa na akili ya kufikiri hivyo hupati shida kujua maana.
 
Kama Dar ni 80% ya nchi kwa nini tumekwenda fufua mfu Dodoma?! Marehemu alieparalyse pia.
Wewe akili yako finyu, business capital haina uhusiano na government capital!
 
Back
Top Bottom