Seleman Mrisho
Member
- Dec 14, 2019
- 47
- 33
DSM ndio mlango Wa Afrika mashariki na kati hivyo mambo yote ya msingi ni DSM mikoani ni vyanzo vya malighafi na chakula tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LOL umasikini kuliko huu wa watu 150k kufa na njaa kwenye middle income? 😁😁😁Kwa maana hiyo imebidi niwaelewe kwanini wasifunge Dar, nchi itarudi kwenye level iliyokua enzi za ujamaa wa Nyerere yaani ukata..umaskini wa mwisho.
Akili yako finyu sana we mzee, kwa Marekani ni mtaa mmoja tu unarun uchumi wa Marekani na ni Wall Street au kaeneo kengine ni silicon valley so states nyingine ni hopeless?Siku zote nilikua najua A-city Arusha, Kilimanjaro, Mwanza rock city, Zanzibar na kule Mbeya wana unafuu kiuchumi, sasa ikiwa nchi yote 80% inatoka Dar, nyie wengine wote ni mzigo kwa taifa.
We ni taahira, wakuvumilie wewe na nani?Wakenya mtuvumilie tu. Aliyesema maneno hayo kuna kipindi network inasoma low. Muda mwingine ipo 5G. Ikiwa low ndo hivyo tena. Ila tunampenda jamaa yetu hivyo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yake imekomea hapo 😂Akili yako finyu sana we mzee, kwa Marekani ni mtaa mmoja tu unarun uchumi wa Marekani na ni Wall Street au kaeneo kengine ni silicon valley so states nyingine ni hopeless?
Bandari ndio inachangia, thinking tu simple petrol yote inayoingia nchini kutumika mikoa yote na nchi jirani inalipiwa wapi kodi?Kuna kipindi fulani hivi nilikuwa nafuatilia sana bunge la bajeti enzi za JK, Waziri mmoja wa fedha alisema kuwa Dar inachangia 33% ya pato la Taifa.
Kumbe sasa ni 80%, maana ni muda sana sijafuatilia bunge
Kudeal na hii misukule inahitajika wito mkuu wangu 😅😅😅😅Akili yake imekomea hapo 😂
Swali la kizushi tu, mazao yanayolimwa Tanzania, entry of export ni wapi? Watalii wanaokuja Tanzania entry of entrance ni wapi? Madini yanayochimbwa nchini entry of cashing ni wapi?80%? Really?? Hivyo mikoa mingine yote ni mzigo pamoja na kwamba hiyo mikoa ina migodi, utalii, kilimo na mambo mengine mengi....
Swali la kizushi tu, mazao yanayolimwa Tanzania, entry of export ni wapi? Watalii wanaokuja Tanzania entry of entrance ni wapi? Madini yanayochimbwa nchini entry of cashing ni wapi?
Ukiwa na akili ya kufikiri hivyo hupati shida kujua maana.
Mkoloni aliondoka na akili zao.Kudeal na hii misukule inahitajika wito mkuu wangu 😅😅😅😅
Kitu ninachojivunia utaifa wangu ni kwamba kiongozi wetu alifungua kinywa basi ukanda mzima unakaa kitako kumsikiliza 😅😅😅😅Jamaa jifunze netiquette, jenga hoja yako kisha quote once, maana ukiniquote mara nyingi nazipita zote kuja kusoma moja ya mwisho tu, maana zote najua zitakua pumba hazina umuhimu wa mimi kupoteza wakati nikizosoma. Rais wenu ameshasema Dar ndio 80% ya uchumi wenu, sasa kajamba kama wewe huna uwezo wa kumbishia.
Nenda kaokoe ndugu zako wanaleta aibu Afrika
Duh! Mabaharia wa China watosa wazamiaji wa Tanzania baharini kwa kuogopa Corona - JamiiForums
LOL JPM kaja kuzikomboa 😁☀️🇹🇿🇹🇿🇹🇿Mkoloni aliondoka na akili zao.
Halafu mbona huo uzi alioufungua hukumu ilishatolewa kwa hao wachina kitambo 😂😂😂Kitu ninachojivunia utaifa wangu ni kwamba kiongozi wetu alifungua kinywa basi ukanda mzima unakaa kitako kumsikiliza 😅😅😅😅
The whole Kenya was silent yesterday beholding their great majesty 😆😆😆
View attachment 1428672
HAPANA.80%? Really?? Hivyo mikoa mingine yote ni mzigo pamoja na kwamba hiyo mikoa ina migodi, utalii, kilimo na mambo mengine mengi....
Ndio maana huwa nasema msipoteze sana energy kubishana na hizi mbumbumbu za kikunya humu 😂 😂 😂LOL JPM kaja kuzikomboa 😁☀🇹🇿🇹🇿🇹🇿View attachment 1428679
Ndio maana huwa nasema msipoteze sana energy kubishana na hizi mbumbumbu za kikunya humu 😂 😂 😂
Hazina akili kabisa,
Pata picha hawa madereva wangekuwa ni Watanzania tu..humu pangejaa threads za kejeli leo.
Uwongo ndio tabia yao pamoja na propaganda 😂LOL halafu si huwa wanasema mzigo wa Uganda wote wameukaba wao? 😁😁😁
Sasa mbona sisi ndio tunaongoza kuwapelekea Uganda mzigo kwa hizi unrelated statistics zinaonesha most common forwarders ni watanzania kutoka bandari zetu 😁😁🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️
HAPANA.
Kitengo cha walipa kodi wakubwa kiko based Dar es Salaam hivyo makampuni yote makubwa hata kama makao yake makuu si Dar es Salaam kodi zao wanalipia kwenye hicho kitengo chenye ofisi zake Dar es Salaam. Mfano wa hayo makampuni ni Ngorongoro na TANAPA ambazo makao makuu yako Arusha lakini kodi wanalipia Dar es Salaam (Kitengo cha Walipa Kodi wakubwa).
lol una neno lolote kwa huyu Mkenya mwenzio? 😁🤸♂️🇹🇿☀️Kuna uzi Watanzania kwa Watanzania wamebishana kuhusu hiki kitu, kunao wameeleza ilivyo hiyo 80% kwamba kumbe ni kweli, kapitie huu, naupitia pia nikijifunza kitu Revenue collection ya serikali 80% inatoka Dar? Nimechanganyikiwa kabisa na hili - JamiiForums
Sisi tumezuia mikusanyiko yote halafu wakimaliza wanaanza kumshambulia JPM 😂😂😂