Marekani alishatoa wanajeshi na vifaa vingi kwenye kambi zake Bahrain, Kuwait, Saudi, n.k,Sema marekani kachezea kichapo vibaya mno
Anapiga majengo matupuSema marekani kachezea kichapo vibaya mno
Watu hawaelewi kitu kimojaAnapiga majengo matupu
Mkuu naona umenitag hapo. Vunga kiaina nakuja.mashambulizi Nini kitatokea ,
Sasa pro iran wanafikili kaka Israel na marekani kama wandawazimu
T14 Armata
Watu wanafanya mazishi ya maofisa wa ngazi za juu na kiongozi wa nchi, ila anatokea mtu baki anasema Israel na US wanapiga majengo matupu.Watu hawaelewi kitu kimoja
Mpk Israel na marekani wanaanzisha hio operation unajua na wanaelewa Iran ana siraha za aina gani.
Na wanajua wakiaanzisha mashambulizi Nini kitatokea ,
Sasa pro iran wanafikili kaka Israel na marekani kama wandawazimu
T14 Armata