lipo tatizo la nchi nyingi kuwa na nadhalia ya mihimili mitatu ya utawala lakini mihimili hiyo kuuliwa kutokana na jinsi mihimili hiyo inavyoundwa katika katiba na mwisho ni kuwa na mhimili mmoja katika uhalisia wenye nadhalia ya mihimili mitatu.
unapokuwa na mhimili mmmoja uliounganisha mihimili mingine pale inapotokea mhimili mmoja kutenda kinyume badala ya mihimili mingine kurekebisha basi inasapoti.
tuwe makini na uandishi wetu wa katiba kwa kuangalia iwapo siku moja atatokea kiongozi mmoja aliyechaguliwa na wananchi akamaliza mda wake wa kuongoza kwa mujibu wa katiba yetu je akitamani kuongeza mihimili mingine inaweza kulinda katiba yetu au itamsapoti?
na hapo tutambue huyu anayetaka kubadili katiba hamtumjui kwa sasa hivyo yawezekana akawa mbaya au mzuri lakini kama tukiunda mifumo ambayo kundi fulani wenyewe au kwa kutumiwa na watu wanaweza kufanya lolote kwa maana vyombo vyote wamevishikilia tutakuwa tunalipeleka wapi taifa letu huko mbeleni.
katiba hizi tusidhani ni siri na mapungufu haya tunayoyafanya ipo siku watayatumia wageni kututesa achilia mbali kutumiwa na wenyeji wenye uchu wa madaraka.
tufikiri nje ya viganja vyetu kwa kutokuangalia fursa zetu bali tuangalie na "risk tunazozichukua kwa gharama ya karanga tu za kutafuna"