SIDANGANYIKI2015
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,054
- 114
hivi wewe uko darasa la ngapi? maana sidhani kama hata unauwezo sio kuchambua jambo bali kusoma kitu na kuelewa.
ni kazi kubwa kuelimisha mtu kama wewe ingawa ni hasara sana kuacha jamii ikawa na watu kama wewe wengi.
kujifunza kupo kwa aina nyingi lakini unaweza kujifunza mambo kupitia experience yaani unaona mtu na familia yake wanavyoishi basi unapata la kujifunza kuwa katika familia yako uongeze nini au uepuke nini au uondoe nini. hii tunaita elimu isiyorasimi nadhani.
lakini kuna mifumo ya kujifunza kwa kwenda eneo maalumu kufuata mafundisho maalumu. unaweza kwenda kufundishwa kuwa katika familia kunahitajika hiki na kile.
sasa elimu zote mbili ni muhimu sana kwa maisha yako.
sisi tuna tatizo kubwa katika elimu isiyo rasimi kwa maana hatuwezi kujifunza kutoka katika mazingira yanayotuzunguka. kutokujifunza huku kunatokana na misingi mibaya tunayojengewa katika elimu ya mifumo rasimi kwa kuchukua majibu tu.
wewe elimu yako nikikutathmini umejifunza kwa kutumia "past papers" ambapo unakariri swali na jibu lakini huwezi kutafuta mtitiriko mzima wa jambo.
huwezi kuangalia jambo na kuona michakato yote kuwa ili jambo fulani litokee linapitia hatua fulani na hivyo kitu fulani yawezekana hakijatokea lakini mchakato wake tayari umeanza. au kama jambo hili liko hivi leo je kesho litakuwaje?
tilia mkazo kujifunza kupitia mazingira yanaypokuzunguka lakini usitake short cuts bali tafuta kiina cha kila jambo.
Unapoteza muda tu hata hiyo elimu yako ya kushindwa siitaki!ni bora taifa likawa na watu kibao dizaini yangu kuliko wewe unayekalia kulazimiasha mambo,unakalia kutaja michakato ipi hiyo kwa mawazo yako unakaa na kufikiri habari za Burundi Tanzania?fikiri sawasawa!tunajifunza nini?tungekua tunajifunza kwao tungezuia hata hivyo vikao vikqfanyikia nchini kwao badala ya Dar es salaam wao si ndo role mode,nasema tena hatuna cha kujifunza hapa,kaa ukijua nafasi ya Tanzania ni very special hatutakaa tufikiri uliyonayo kichwani mwako.