Yasinta; Mwanaume hata kama una kibamia jiamini, yupo mwanamke atakupenda na kibamia chako

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Mwana Mitindo , Jasinta makwabe ame washauri wanaume ambao wana hisi kuwa na maumbile madogo ya kiume (KIBAMIA) ni ulemavu, Waanze Kujiamini Kwa sababu hakuna kitu ambacho MUNGU ana kiumba bila sababu za msingi.

Hata uwe na Kibamia lazima Kuna mwanamke wako Atakupenda na Kibamia Chako na utamfikisha huko Kileleni bila hata kutumia nguvu, Na pia Kuna Mwanaume Mwenye lidude likubwa anaonekana kero Kwa baadhi ya wanawake, ndo ilivyo hivyo.

Jasinta ametolea mfano kwake, ana weusi unao zunguka macho yake, na huwa watu Wana mshauri atumie madawa kuondoa weusi huo lakini ameuacha ubakie kama ulivyo Kwa sababu ni MUNGU alimuumba hivyo na amechagua Kujiamini hivyo alivyo.

Mwanaume Mwenye KIBAMIA jikubali kikubwa kina unga mboga na inanoga"
Amesema Yasinta mwanamitindo.
1788945410450.png
 
Hawa wanawake wanapigania dushelele kubwa sijui wakoje. Ama ni kwamba wao wana uke mkubwa kama shimo la tewa?

Sasa ufike wakati wanaume nao wawabeze wanawake wote wenye **** kubwa kama mlango wa kuingilia hekaluni.

Kila mwanaume akiachana na demu, kesho yake demu anaanza kutangaza kuwa ana kibamia.

Ushauri wangu: mwanamke yeyote anayetaka kusuguliwa vizuri aende kununua bomba la mafuta ghafi ajisugue nalo akojoe alale😎

Ni hayo tu!
 
Bila kusahau anapita mtoto hapo watoto wengine wana mabichwa makubwaa kuna mjegeje saizi ya mtoto kweli
 
Hamna mjegeje unaofikia saizi ya kichwa cha mtoto. Wanaume wengi wanaendeshwa na wanawake kisaikolojia sana.

Imagine mwanamke ana shimo kubwa mwanaume anauume uliokidhi urefu na unene, lakini kwa sababu uume unaowya kwa sababu ya shimo hilo kubwa mwanaume anaambiwa ana kibamia 🤔

Ili kuweka hili jambo sawa lazima tuanze kuwasemea hadharani wale wanawake wenye K kubwa kama ya nyangumi ili ngoma iwe droo.
 
😂😂 Nakala ifike kwa mwenyekiti wa chaputa Mbaga Jr
 
Kabisa. Hawa wanawake tumewarusu sana kututeka kisaikolojia. Nimeona jamaa mmoja amefariki akiwa katika mchakato wa kuongeza dushelele. Sasa sijui alitaka awe nalo kubwa kama punda! 🤣
Marehemu alifeli sana umri miaka 43, alifeli pakubwa! Huwezi shindana na ulikotoka.

Sema mademu wenye kilometa nyingi ndo hii changamoto wanayo wamekutana na ma tipa, greda, caterpillar, tindo, suluhu za kila aina yani tabu tu.
 
only Christian courtship which leads to Christian marriage ndiyo itakayokuokoa na kukupa faraja maishani, huko nje ni kugumu sana, Yesu pekee ndiyo jibu ...
 
Marehemu alifeli sana umri miaka 43, alifeli pakubwa! Huwezi shindana na ulikotoka.

Sema mademu wenye kilometa nyingi ndo hii changamoto wanayo wamekutana na ma tipa, greda, caterpillar, tindo, suluhu za kila aina yani tabu tu.
R.I.P marehemu.

Sasa mademu wa hivi ndio wanafanya wanaume wajione wanyinge aisee!

Rais wa wanaume wenye vibamia nchini mzabzab ana kazi kubwa sana ya kufanya.
 
Vipi tena jamani wenye vibamia tunasimangwa sio jf sio insta kuliko ata wanaume wasio na hela🤣🤣🤣
 
Mtapewa wa kufanana nawe.

Kama Kiba basi chukua suez canal na si amboni crater

Kama wewe ni Usain Bolt - 9 seconds - tackle 3 basi chukua mwanamke Jino Moja.

Kama wewe ni Kip Choge Marathon Runner ,Chukua Manungayembe ,Mawaluwalu

Kama ni Mandingo chukua mwenye Hormuz.
 
Back
Top Bottom