Yasser Arafat alikufa kwa ugonjwa gani?

FISTULA
 

Katika utafiti wangu hakuna sehemu nimeona ya kwamba Israel walihusika kumuua Arafat. Ni nadharia ya kwamba alikataa two state solution, basi Israel ililipiza kisasi ila hakuna ushahidi wa moja Kwa moja kwamba Israel inahusika.
 

Kweli Mkuu
 

Asante mkuu kwa hii taarifa mpya. Ni hatari Sana. Ngoja niipitie
 

Na shida inaanzia hapa. Israel hawataki two state solution.
 
Ndugu mwandishi; hayo ni mawazo yako au umesoma sehemu? Halafu mbona Iran pale Israel amekua anajipigia atakavyo? Kaua wataalam wa nuclear pale pale Tehran, amemuua kiongozi mkubwa wa Hamas pale pale Iran, ameua rais wao hapo hapo Tehran; we unamzungumzia Ayatollah? Sidhani kama wameamua na wakashindwa. Kama CDF wa Iran tu imekuja kugundulika nae ni Myahudi, unazungumzia ulinzi kwa Iran? Ile mijitu (Miyahudi ) uipende au uichukie bado ukweli utabaki, akili na uwezo wanao. Halafu mashariki ya kati wapo kila nchi. Mimi najisomea somea sana; nimesoma pia jinsi CIA walivompata Osama Bin Laden pale Pakistan, alikua anaishi just 500m from kambi ya jeshi la Pakistan, Mossaid waliisaidia pakubwa USA kujua mahali anapoishi Osama na hatimae akauawa; bado unawachukulia poa hawa watu? Kinchi chao mkoa wa Mwanza ni mkubwa, hakina any natural resources but kinasumbua middle east yote, usidharau Israel
 
Nkate na divai
 
Ukweli ni kwamba yule Babu alikuwa ameshazeheshwa na Whisky nyingi na siku zake za mwisho alibadili Dini kutoka Sunni Muslim na kuwa Christian.
 
Hata kifo cha JPM kwangu ni utata.
 
Simanishi hawawezi kumuua la hasha, shida ni baada ya kumuua watafanyiwa nini na Iran. Hakuna nchi hapa dunian inaweza kuthubutu kumuua Ayatollah si UK,US ijekua Israel?
 
Alikufa kwa ugonjwa wa wasiopenda haki na uhuru wa wapalestina,hiyo ni imani yangu sijui yako inasemaje pamoja na za wengine.
 
Operation promise mbona kimya? Israel wanagonga mbele na nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…