Yasser Arafat alikufa kwa ugonjwa gani?

Yasser Arafat alikufa kwa ugonjwa gani?

Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida.

1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa.
Wengi kwenye nadharia ya kwanza wanadai ya kwamba Yasser Arafat Aliuawa na maadui zake wa kisiasa. Kwamba baada ya kukataa offer ya Waziri Mkuu wa Israel wa Ehud Barak mwaka 2000 ya uwanzishaji wa mataifa mawili ya Israel na Palestina, shida ilianzia hapo.

Inadaiwa ya kwamba Yasser Arafat alidhamiria ya kwamba ili Taifa la Palestina lianzishwe basi inabidi wakimbizi wote wa kpalestina waliofurumushwa kutoka Israel warudi kwenye maeneo yao kwanza ndani ya Israel ndipo Sasa wakubaliane kuanzisha nchi mbili za Israel na Palestina. Msimamo huu ndio chanzo Cha uadui na hata kuuawa.

Kwenye nadharia hii inadaiwa na wapelelezi wa kifaransa ya kwamba Yasser Arafat Aliuawa kwa sumu aina ya Polonium 210. Wapelelezi Hawa wanadai ya kwamba, sample ya mkono iliyopatikana kwenye chupi ya Arafat ilionesha ya kwamba ilikuwa na kiwango kikubwa Cha Polonium 210. Ingawa ni nani hasa alimwekea sumu hiyo hakuna ajuaye. Wengine wanadai ni mke wake wa ndoa, wengine wanadai ni Israel na wengine wanadai ni mahasimu wake kutoka Palestina.

2. Nadharia ya Pili: kifo Cha kawaida.
Kwenye nadharia ya Pili ya kifo Cha Arafat, inasemekana Alikufa kwa maradhi ya kawaida ingawa inashtusha kidogo. Mwaka 2007, Daktari binafsi wa Yasser Arafat, ajulikanaye Kama Dr Ashraf Al Kurdi, alidai ya kwamba walipopima damu ya Arafat waligundua Ina virusi vya HIV. Ingawa Daktari huyo anadai pamoja na damu ya Arafat kuwa na HIV ila hakufa kwa maradhi ya UKIMWI Bali maradhi mengine kabisa. Majibu ya Dr Al Kurdi yameleta mabishano mengi Sana, ni Kwa vipi afe kwa ugonjwa mwingine kabisa usiohusiana na HIV? Na je ni kweli sample ya damu yake haikuchezewa kuleta majibu yanayoonesha alikuwa ameambukizwa HIV.

Mpaka Leo kifo Cha Yasser Arafat kimekuwa kigumu kujua kilisababishwa na Nini.
FISTULA
 
Wayahudi wana akili fupi sana wanaamini kumuua kiongozi ndio itawarahisishia mipango yao. Hio inapunguza tu muda wa tatizo then tatizo linarudi pale pale inakua alichofanya ni bure, tena bora yule dingi hakua mtu wa kash kash na vita, saivi viongozi wote watao kuja wa hamas ni aggressive kweli kweli tatizo limeshatiwa kiberiti na wao wenyewe. Waliua wanasayansi wa Iran sasa Iran ananyuklia tayari, walimuua Qasem Suleiman sasa Iran anashusha vitu direct ndani Israel. Wamemuua Nasrallah matokeo yake hizbollah wanalipiza kisasi chake kila siku. Huu mgogoro hauna suluhu ya kudumu kwaku na wao wanaanza kupata silaha kali kali

Katika utafiti wangu hakuna sehemu nimeona ya kwamba Israel walihusika kumuua Arafat. Ni nadharia ya kwamba alikataa two state solution, basi Israel ililipiza kisasi ila hakuna ushahidi wa moja Kwa moja kwamba Israel inahusika.
 
Umeisha fikia hitimisho kwamba Dr. Yasra Arafat aliuwa na Israel? Umefikiaje hitomisho hilo kaka? Mleta uzi kaleta hypothesis kwa data zilizokusanywa na madaktari tofauti, why blaming Israel for this why the guy went to Paris for his treatment? Why hakwenda Iran, Egypt or Indonesia nchi za Kiislamu? Wafaransa tena hospital ya jeshi? Kwanini usitikirie wao ndio walimuua?

Kweli Mkuu
 
Kuna

jamaa alikuwa ana nunua mizizi/ unga wa alkasusi na dawa zingine za Kisunha weneyewe wanavyoziita toka kwa mzee mmoja kwenye soko huko ukanda wa Gaza! Wana wa Yuda! Wakaweka Vitu vyao kama vile kwenye Pagers na Radio call- So mzee akawa anajilia dose pole pole mpaka Umauti unamkuta
Mzee aliekuwa anamuuzia Alkasusi ndo huyu hapa....
View: https://youtu.be/vZxiS8jQm40 (kipo kitabu nilisoma kina hii story) Mzee alioa Binti mbiichi wa Kutoka kabila la Yuda pia So alikuwa anaenda na bits za Mrembo🥰pia hapa BBC 💉💉Yasser Arafat 'may have been poisoned with polonium' - BBC News

Asante mkuu kwa hii taarifa mpya. Ni hatari Sana. Ngoja niipitie
 
Hapana bila shaka ni wao mazayuni na yeye alikua mlaini sana kwao kidogo wamuyumbishe na sio huyo hata yule waziri wao aliyetaka suluhisho walimuua, anamanisha kila anayefikiria kuweka usawa wote waishi kama mataifa zayuni lazima awalambishe mchangani na wangeweza kama sio uimara wa Iran kumuondoa Ayatollah kabisa na ndio lengo lao mpaka kesho

Na shida inaanzia hapa. Israel hawataki two state solution.
 
Hapana bila shaka ni wao mazayuni na yeye alikua mlaini sana kwao kidogo wamuyumbishe na sio huyo hata yule waziri wao aliyetaka suluhisho walimuua, anamanisha kila anayefikiria kuweka usawa wote waishi kama mataifa zayuni lazima awalambishe mchangani na wangeweza kama sio uimara wa Iran kumuondoa Ayatollah kabisa na ndio lengo lao mpaka kesho
Ndugu mwandishi; hayo ni mawazo yako au umesoma sehemu? Halafu mbona Iran pale Israel amekua anajipigia atakavyo? Kaua wataalam wa nuclear pale pale Tehran, amemuua kiongozi mkubwa wa Hamas pale pale Iran, ameua rais wao hapo hapo Tehran; we unamzungumzia Ayatollah? Sidhani kama wameamua na wakashindwa. Kama CDF wa Iran tu imekuja kugundulika nae ni Myahudi, unazungumzia ulinzi kwa Iran? Ile mijitu (Miyahudi ) uipende au uichukie bado ukweli utabaki, akili na uwezo wanao. Halafu mashariki ya kati wapo kila nchi. Mimi najisomea somea sana; nimesoma pia jinsi CIA walivompata Osama Bin Laden pale Pakistan, alikua anaishi just 500m from kambi ya jeshi la Pakistan, Mossaid waliisaidia pakubwa USA kujua mahali anapoishi Osama na hatimae akauawa; bado unawachukulia poa hawa watu? Kinchi chao mkoa wa Mwanza ni mkubwa, hakina any natural resources but kinasumbua middle east yote, usidharau Israel
 
Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida.

1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa.
Wengi kwenye nadharia ya kwanza wanadai ya kwamba Yasser Arafat Aliuawa na maadui zake wa kisiasa. Kwamba baada ya kukataa offer ya Waziri Mkuu wa Israel wa Ehud Barak mwaka 2000 ya uwanzishaji wa mataifa mawili ya Israel na Palestina, shida ilianzia hapo.

Inadaiwa ya kwamba Yasser Arafat alidhamiria ya kwamba ili Taifa la Palestina lianzishwe basi inabidi wakimbizi wote wa kpalestina waliofurumushwa kutoka Israel warudi kwenye maeneo yao kwanza ndani ya Israel ndipo Sasa wakubaliane kuanzisha nchi mbili za Israel na Palestina. Msimamo huu ndio chanzo Cha uadui na hata kuuawa.

Kwenye nadharia hii inadaiwa na wapelelezi wa kifaransa ya kwamba Yasser Arafat Aliuawa kwa sumu aina ya Polonium 210. Wapelelezi Hawa wanadai ya kwamba, sample ya mkono iliyopatikana kwenye chupi ya Arafat ilionesha ya kwamba ilikuwa na kiwango kikubwa Cha Polonium 210. Ingawa ni nani hasa alimwekea sumu hiyo hakuna ajuaye. Wengine wanadai ni mke wake wa ndoa, wengine wanadai ni Israel na wengine wanadai ni mahasimu wake kutoka Palestina.

2. Nadharia ya Pili: kifo Cha kawaida.
Kwenye nadharia ya Pili ya kifo Cha Arafat, inasemekana Alikufa kwa maradhi ya kawaida ingawa inashtusha kidogo. Mwaka 2007, Daktari binafsi wa Yasser Arafat, ajulikanaye Kama Dr Ashraf Al Kurdi, alidai ya kwamba walipopima damu ya Arafat waligundua Ina virusi vya HIV. Ingawa Daktari huyo anadai pamoja na damu ya Arafat kuwa na HIV ila hakufa kwa maradhi ya UKIMWI Bali maradhi mengine kabisa. Majibu ya Dr Al Kurdi yameleta mabishano mengi Sana, ni Kwa vipi afe kwa ugonjwa mwingine kabisa usiohusiana na HIV? Na je ni kweli sample ya damu yake haikuchezewa kuleta majibu yanayoonesha alikuwa ameambukizwa HIV.

Mpaka Leo kifo Cha Yasser Arafat kimekuwa kigumu kujua kilisababishwa na Nini.
Nkate na divai
 
Ukweli ni kwamba yule Babu alikuwa ameshazeheshwa na Whisky nyingi na siku zake za mwisho alibadili Dini kutoka Sunni Muslim na kuwa Christian.
 
Hata kifo cha JPM kwangu ni utata.
 
Ndugu mwandishi; hayo ni mawazo yako au umesoma sehemu? Halafu mbona Iran pale Israel amekua anajipigia atakavyo? Kaua wataalam wa nuclear pale pale Tehran, amemuua kiongozi mkubwa wa Hamas pale pale Iran, ameua rais wao hapo hapo Tehran; we unamzungumzia Ayatollah? Sidhani kama wameamua na wakashindwa. Kama CDF wa Iran tu imekuja kugundulika nae ni Myahudi, unazungumzia ulinzi kwa Iran? Ile mijitu (Miyahudi ) uipende au uichukie bado ukweli utabaki, akili na uwezo wanao. Halafu mashariki ya kati wapo kila nchi. Mimi najisomea somea sana; nimesoma pia jinsi CIA walivompata Osama Bin Laden pale Pakistan, alikua anaishi just 500m from kambi ya jeshi la Iran, Mossaid waliisaidia pakubwq USA kujua mahali anapoishi Osama na hatimae akauawa; bado unawachukulia poa hawa watu? Kinchi chao mkoa wa Mwanza ni mkubwa, hakina any natural resources but kinasumbua middle east yote, usidharau Israel
Simanishi hawawezi kumuua la hasha, shida ni baada ya kumuua watafanyiwa nini na Iran. Hakuna nchi hapa dunian inaweza kuthubutu kumuua Ayatollah si UK,US ijekua Israel?
 
Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida.

1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa.
Wengi kwenye nadharia ya kwanza wanadai ya kwamba Yasser Arafat Aliuawa na maadui zake wa kisiasa. Kwamba baada ya kukataa offer ya Waziri Mkuu wa Israel wa Ehud Barak mwaka 2000 ya uwanzishaji wa mataifa mawili ya Israel na Palestina, shida ilianzia hapo.

Inadaiwa ya kwamba Yasser Arafat alidhamiria ya kwamba ili Taifa la Palestina lianzishwe basi inabidi wakimbizi wote wa kpalestina waliofurumushwa kutoka Israel warudi kwenye maeneo yao kwanza ndani ya Israel ndipo Sasa wakubaliane kuanzisha nchi mbili za Israel na Palestina. Msimamo huu ndio chanzo Cha uadui na hata kuuawa.

Kwenye nadharia hii inadaiwa na wapelelezi wa kifaransa ya kwamba Yasser Arafat Aliuawa kwa sumu aina ya Polonium 210. Wapelelezi Hawa wanadai ya kwamba, sample ya mkono iliyopatikana kwenye chupi ya Arafat ilionesha ya kwamba ilikuwa na kiwango kikubwa Cha Polonium 210. Ingawa ni nani hasa alimwekea sumu hiyo hakuna ajuaye. Wengine wanadai ni mke wake wa ndoa, wengine wanadai ni Israel na wengine wanadai ni mahasimu wake kutoka Palestina.

2. Nadharia ya Pili: kifo Cha kawaida.
Kwenye nadharia ya Pili ya kifo Cha Arafat, inasemekana Alikufa kwa maradhi ya kawaida ingawa inashtusha kidogo. Mwaka 2007, Daktari binafsi wa Yasser Arafat, ajulikanaye Kama Dr Ashraf Al Kurdi, alidai ya kwamba walipopima damu ya Arafat waligundua Ina virusi vya HIV. Ingawa Daktari huyo anadai pamoja na damu ya Arafat kuwa na HIV ila hakufa kwa maradhi ya UKIMWI Bali maradhi mengine kabisa. Majibu ya Dr Al Kurdi yameleta mabishano mengi Sana, ni Kwa vipi afe kwa ugonjwa mwingine kabisa usiohusiana na HIV? Na je ni kweli sample ya damu yake haikuchezewa kuleta majibu yanayoonesha alikuwa ameambukizwa HIV.

Mpaka Leo kifo Cha Yasser Arafat kimekuwa kigumu kujua kilisababishwa na Nini.
Alikufa kwa ugonjwa wa wasiopenda haki na uhuru wa wapalestina,hiyo ni imani yangu sijui yako inasemaje pamoja na za wengine.
 
Wayahudi wana akili fupi sana wanaamini kumuua kiongozi ndio itawarahisishia mipango yao. Hio inapunguza tu muda wa tatizo then tatizo linarudi pale pale inakua alichofanya ni bure, tena bora yule dingi hakua mtu wa kash kash na vita, saivi viongozi wote watao kuja wa hamas ni aggressive kweli kweli tatizo limeshatiwa kiberiti na wao wenyewe. Waliua wanasayansi wa Iran sasa Iran ananyuklia tayari, walimuua Qasem Suleiman sasa Iran anashusha vitu direct ndani Israel. Wamemuua Nasrallah matokeo yake hizbollah wanalipiza kisasi chake kila siku. Huu mgogoro hauna suluhu ya kudumu kwaku na wao wanaanza kupata silaha kali kali
Operation promise mbona kimya? Israel wanagonga mbele na nyuma.
 
Back
Top Bottom