Yatakayotokea Tanzania kabla na baada ya Uchaguzi

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
10,791
Reaction score
15,016
Awali ya yote niwapongeze watanzania kwa busara na uvumilivu wa hali ya juu tulio nao...juzi nilikutana na wazee fulani huko porini wazee hao miongoni mwao waliwahi KUFA kabla mission zao hazijatimia na wengine walitimiza huku wengine wakiwa wametimiza nusu ya mission iliyo waleta duniani.

Wazee hao wamekuwa wakisikitika sana kwa hali inayo endelea kwani mengi waliyo yaratibu kabla hawajarudi PORINI yamevurugwa na kuharibiwa kabisa.

Wazee hao wamechukizwa na jinsi ofisi za serikali zinavyotumika kufaidisha watu wachache...!

Wazee hao wamechukizwa mno na wimbo wa demokrasia unao imbwa huku hautekelezwi kwa vitendo...!

Wazee hao wamechukizwa mno na jinsi ambavyo serikali ya watu wote kumilikiwa na watu wachache wenye nia mbaya kwa Taifa.
images (4).jpeg

wazee hao nyuso zao zilikumbwa na Hudhuni kuu kwa kile walicho dai sisi KUUANA wenyewe kwa wenyewe, bila sababu za msingi, wakaniambia kuwa damu ya mtu alio zurumiwa UHAI huwa haipotea bure...hata wao leo hii wapo porini kwani maisha yao yalikatishwa kwa kuzurumiwa UHAI {HAPO chozi lilinitoka}

Wazee hao hasira ziliwapanda nilipo waambia kuwa hata dhahabu kuna asilimia kubwa ya watu hawaifahamu inafananaje huku ikiwa inachimbwa hapa hapa nyumbani...!

wazee wetu wakasema kwa Pamoja "kwa kuwa viongozi wenu wamejisahau HASIRA yetu itakuwa juu yao...!" Dalili zifuatavyo zitajitokeza kuzihirisha hasira za hao wazee.​
  1. viongozi waandamizi watakumbwa na magonjwa ya Akili {UKICHAA}​
  2. Viongozi wenye majina makubwa wa chama tawala watatimkia uhamishoni...!​
  3. Viongozi MAFISADI watadhalilika kabla UMAUTI haujawafika watapata magonjwa yasiyotibika...hivyo kila alie husika kugawa na kuhalibu Mali za nchi hato kufa kifo cha kawaida vifo vyao vitakuwa vya mateso sana.​
Wazee hao wakaniambia kuwa muda bado upo wa WALENGWA kujitathmini na kuimba wimbo wa DEMOKRASIA kwa vitendo.
images (7).jpeg

Wamesema kwamba wapo teyari kuzuia hasira yao endapo WALENGWA watasimamia UHADIRIFU, ofisi za UMMA zikawa na nidhamu kwa wananchi na wakafanya kazi kwa kufuata misingi bora ya UTUMISHI. ili ikiwezekana MPINZANI kushika nchi wapewe bila uoga. Kwa hali wanayo iona watumishi wa ofisi za UMMA 85% ni wafungwa HURU hivyo ni ngumu MPINZANI kupewa nchi kwani ni lazima atafukua makaburi ambayo WALENGWA hawatopenda yafukuliwe😭😭😭😭

Wamesema kuwa wapo nyuma ya kila linalo fanyika na wanatuona kila tunachofanyiana iwe zuri au baya...!

Wamesema pia wapinzani wasiteswe na kuwekewa vikwazo visivÿo msingi.

Wamesema pasitokee mtu akashitakiwa mashitaka ya uongo...maana kila tufanyacho kina malipo ukifanya jema utalipwa jema ukifanya baya utalipwa baya na DUNIA. Hivyo kwa wanaojifanya wanatekeleza mashitaka ya uongo wataliangamiza taifa kwani ASILI huwa haipewi HONGO.

Wamesema kuwa kelele za wananchi zisipuuzwe bali wananchi wapewe wanacho taka...kila mmoja apewe haki yake anayo stahiri MAFISADI wasaini hati za kuomba msamaha hata kimoyo moyo na wajutie walicho kifanya na waape kuwa waadilifu...! Na wasirudie tena walicho kifanya.

wamesema kuwa somo la UADILIFU lianze kufundishwa kwa vitendo na kiongozi yeyote asie MUADILIFU ni bora akawapisha wengine...!

Wamesema kuwa wanataka kuona mtu anapata kazi kutokana na vigozo vya kazi husika na si kupewa kazi kwa undugu ama urafiki.

Wamesema kuwa vyeo visiwe ZAWADI badala yake mwenye kigezo cha kupanda DARAJA apande bila kupendelewa.
images (5).jpeg

Wakamalizia kuwa kama wangalikuwa HAI walingaliwafukuza WATUMISHI wote...lakini kwakuwa hawapo wapo PORINI wamesema watumishi wote wapewe SEMINA ya kukumbushwa UHADIRIFU, wapewe onyo na adhabu kali kwa atakae bainika KUTOA au KUPOKEA HONGO.

wakamalizia kwa KUTUSIHI watanzania kuwa na AMANI na kwamba wao watatulinda milele kamwe ADUI hato pata nafasi ya kutushambulia...!​
 
View attachment 3375939

View attachment 3375941

View attachment 3375944

Hao wazee ni wachaw nn
Porini kuna nn
 
Code ngumu sana hii kuielewa.
 
😅😅😅😅
Hahaha 😂 yaani hao wazee ningekuwa karibu nao ningewag’onga sikio kuwaambia kuwa nchi yetu Tanzania ni tajiri sana na ina mifumo mizuri sana na ina wafanyakazi waadilifu sana na ripoti za CAG kwa sehemu kubwa ni compliance na siyo wizi kama ule wa jirani zetu. Ningewaambia wazee tatizo ni wanasiasa wanaotaka kuweka legacy zao kwa maslahi yao na siyo kwa ajili ya taifa. Mfano sasa unaona wameshagawana nani awe waziri au nani awe rais bila kujali uwezo wa mhusika ktk kuchagiza maendeleo ya nchi, yaani mtu anapendekezwa kwenye nafasi ya urais kwa sababu anafahamiana mtu fulani. Hivyi wazee kazi yao itakuwa laini sana wakijua tu kuwa mifumo tunayo. Na wazee hawa pia wasisahau mfumo wetu wa TSA unachezewa sana na vijana wa IT pale eGA, yaani pale kuna vikundi vya wizi na havitaki kabisa ofisi ya CAG au ACGEN wajue kuna nini kwenye mfumo yaani no audit train. Ukitaka kuwafuatilia wanakupoteza mazima mazima.
 
Hao wazee ikiwa wameshindwa kujjitoa porini wakaja mjini,

Waliofungwa porini, wakusaidiej ww?

Wawezeje kukusaidia?
 
Wewe umetuangusha sana mkuu!
Inamaana ulishindwa kuwaambia kuwa hiyo nchi haipo tena,ilishauzwa na sasa ni SUB-ARABS TANZANIA?

Umenikumbusha mwaka 2010 kabla ya mtanange majukwaani CCM wakamtengeneza JK Nyerere wao aliyeibukia Tunduru Mkoani Ruvuma baada ya kuona upepo mkali wa Padre mstaafu wa CDM.

Kumbuka hapo ilikuwa ni muda mfupi tu baada ya orodha ya mafisadi kuwekwa hadharani na ile MSN ya Chadema iliyokuwa chini ya Slaa,Kabwe,na Mnyika.

Huyu Nyerere wao aliibuliwa na akaja na maelekezo ya kwamba yeyote atakaye gombea dhidi ya JK mpya huyo atapokelewa na malaika wa zamu langoni kwa sir God.

Basi,TBC nao kama walivyokuwa wameandaliwa kuendeleza hiyo movie nao wakaleta wazee uchwara wakawa wanaongea nao hapo Dodoma kuthibitisha maneno ya Nyerere wao huyo mpya na wao kwakuwa tayari walihakikishiwa wajukuu zao kupata teuzi basi nao wakatembelea mulemule.

Kwa hiyo haya masuala ya kutotolewa fomu hata moja yalianza kwanza kuwatisha wengine wasigombee ijapo waligombea,ikaja fomu moja tu,na sasa hata hiyo fomu moja HAIPO na baadae hakutakuwepo hata kikao cha kuzugia.

NO REFORMS NO ELECTION.
 
Wazee wamesikia...tulia mkao wa KULA...!
 
Back
Top Bottom