Yatapita by Diamond Platnumz ngoma Kali Sana

Tangu asubuhi naisikiliza kwa hisia sana huku inajirudia rudia na kugusa maisha yangu kwa kiwango kikubwa sana🙂
Hapa Mwamba katiliza akili sana
 

Attachments

  • Screenshot_20230121-100817.png
    26.6 KB · Views: 11
Tangu asubuhi naisikiliza kwa hisia sana huku inajirudia rudia na kugusa maisha yangu kwa kiwango kikubwa sana🙂
Hapa Mwamba katiliza akili sana
 
Tangu asubuhi naisikiliza kwa hisia sana huku inajirudia rudia na kugusa maisha yangu kwa kiwango kikubwa sana[emoji846]
Hapa Mwamba katiliza akili sana

Hapo nyumbani wewe ni Beki 3 au unaishi kwa Dada?
 
Haina uzuri wowote aisee nimedownload hapa nikasikiliza sijauelewa kabisa, kwaya si kwaya yaan no ubunifu. Nasikitika mb zangu zimeenda bure
Wewe ujui mziki ushazoea miziki ya kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…