Yatapita by Diamond Platnumz ngoma Kali Sana

Yatapita by Diamond Platnumz ngoma Kali Sana

Diamond alifikia Peak hapa hizo nyingine nzuri ila hii ni most under rated (Ukimwona)


Hii ngoma kali miaka yote. Ndo ngoma ya mond ambayo huwa inakaa kwenye sim yangu. Mimi huwezi kukuta nina nyimbo zaidi ya 10 kwenye simu maana si mpenz wa kusikiliza nyimbo kwenye simu ila hii huwa inakaa kwenye playlist yangu.
Manecky aliitendea beat haki na mond aliua sana humu kuanzia uandishi na melody. Hakuna kama ukimwona
 
Amekosea msimu wa kutoa ngoma. Mwezi January ni msimu wa Mandonga mtu kazi
 
Kuna jamaa kawasha asubuh had mda hu naskia inapiga kila nkitok nje

Haya ngoja niiweke hapa
 
Hovyo kabxaa...kitendo cha kuhamia yanga kaanza kuimba ujinga..nyimbo haina melody utafikir katoka kuamka na kwenda studio
 
Hovyo kabxaa...kitendo cha kuhamia yanga kaanza kuimba ujinga..nyimbo haina melody utafikir katoka kuamka na kwenda studio
Ukishakuwa brand kushabikia timu bila faida ni upumbavu, pale walikuwepo representatives wa GSM na Hersi hivyo dogo aliiona ile fursa ndiyo maana kwenye page official ya Yanga wakam-post na kumkaribisha.
Kitakachoendelea hapo ni kutumiana kibiashara, a win win situation kwa pande zote mbili.
Visca Barca.
 
Diamond kwa marketing Yuko poa Sana. Katoa huu wimbo January ambapo anajua kabisa watu wengi January mawazo ya pesa Ni mengi so kila mtu atahitaji kusikiliza huu wimbo kipindi hiki kujifariji. Ijumaa nilishangaa Sana Niko kazini kila mmoja anasikiliza huu wimbo .mtaani huku ndo usiseme. Mondi anajua timing Sana[emoji3][emoji3]
 
Wabongo chuki ndo zinatufanya tusipate nafuu.. yaan mtu unamkuta matatizo yamemwandama mpaka unatamani kumwomba Mungu amchukue tu Mwamba akapumzike.. ukichunguza kiundani chanzo ni chuki, wivu na Roho mbaya ndo zina mpa laana. Yaan una comment kwamba Mwimbo ni mbaya na hata haujausikiliza ??? 😂 Ngachoka!
 
Back
Top Bottom