Collins_Sommy
Member
- Jul 7, 2019
- 14
- 38
Tufanye naishi kwa dada... Then imekusaidia nini kujua.?.. punguza dharau na ku under rate watu usiwajua aisee.. hatupo kuonyeshana maisha yetu humuHapo nyumbani wewe ni Beki 3 au unaishi kwa Dada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufanye naishi kwa dada... Then imekusaidia nini kujua.?.. punguza dharau na ku under rate watu usiwajua aisee.. hatupo kuonyeshana maisha yetu humuHapo nyumbani wewe ni Beki 3 au unaishi kwa Dada?
Naona baada ya kuona label yake haina bajeti ya kumfanyia promo kaamua kuomba lift kwa Mondi. Hamna mfanano wowote basi dogo anataka apigwe tafu ila ndio hivyo boss wake hana bajeti ya kumfanyia promo msanii wake.Beat ya huo wimbo ni copy na paste ya wimbo Chizi wa Vanilla