Collins_Sommy Member Joined Jul 7, 2019 Posts 14 Reaction score 38 Jan 23, 2023 #41 Livejr said: Hapo nyumbani wewe ni Beki 3 au unaishi kwa Dada? Click to expand... Tufanye naishi kwa dada... Then imekusaidia nini kujua.?.. punguza dharau na ku under rate watu usiwajua aisee.. hatupo kuonyeshana maisha yetu humu
Livejr said: Hapo nyumbani wewe ni Beki 3 au unaishi kwa Dada? Click to expand... Tufanye naishi kwa dada... Then imekusaidia nini kujua.?.. punguza dharau na ku under rate watu usiwajua aisee.. hatupo kuonyeshana maisha yetu humu
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Jan 23, 2023 #42 Chinga One said: Beat ya huo wimbo ni copy na paste ya wimbo Chizi wa Vanilla Click to expand... Naona baada ya kuona label yake haina bajeti ya kumfanyia promo kaamua kuomba lift kwa Mondi. Hamna mfanano wowote basi dogo anataka apigwe tafu ila ndio hivyo boss wake hana bajeti ya kumfanyia promo msanii wake.
Chinga One said: Beat ya huo wimbo ni copy na paste ya wimbo Chizi wa Vanilla Click to expand... Naona baada ya kuona label yake haina bajeti ya kumfanyia promo kaamua kuomba lift kwa Mondi. Hamna mfanano wowote basi dogo anataka apigwe tafu ila ndio hivyo boss wake hana bajeti ya kumfanyia promo msanii wake.