ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
Haya ndio paaap umepewa masaa 24 ufanye uvunjifu wa sheria na hutoshtakiwa. Utafanya tukio gani la kihalifu?
Tupe na mipango utakayotumia kutekeleza uhalifu huo, maana kipindi hicho kila mtu atakuwa makini.
Twende kazi.
Tupe na mipango utakayotumia kutekeleza uhalifu huo, maana kipindi hicho kila mtu atakuwa makini.
Twende kazi.