Yatolewe masaa 24 kila mtu avunje sheria atakavyo bila kushtakiwa

Yatolewe masaa 24 kila mtu avunje sheria atakavyo bila kushtakiwa

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2019
Posts
1,317
Reaction score
1,229
Haya ndio paaap umepewa masaa 24 ufanye uvunjifu wa sheria na hutoshtakiwa. Utafanya tukio gani la kihalifu?

Tupe na mipango utakayotumia kutekeleza uhalifu huo, maana kipindi hicho kila mtu atakuwa makini.

Twende kazi.
 
Naona mleta uzi umetoka kucheki movie ya "The Purge"
movie hiyo naifahamu muda mrefu..ila kipindi naitizama nilikuwa natamani itokee lakini nikawa najiuliza ningefanya nini? Ndipo nikaandika Uzi nione mawazo ya raia
 
Haya ndio paaap umepewa masaa 24 ufanye uvunjifu wa sheria na hutoshtakiwa. Utafanya tukio gani la kihalifu?

Tupe na mipango utakayotumia kutekeleza uhalifu huo, maana kipindi hicho kila mtu atakuwa makini.

Twende kazi.
Mods mnakera watu kuhamisha hamisha Uzi ..sijaona shida ya kuhamisha huu Uzi toka kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko na kuleta huku ambapo hakuna hata watu wanao tembelea
Acheni hii tabia
Mod one
Mod two
Painkiller
Cookie
Invincible
Farida
 
Mods mnakera watu kuhamisha hamisha Uzi ..sijaona shida ya kuhamisha huu Uzi toka kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko na kuleta huku ambapo hakuna hata watu wanao tembelea
Acheni huu upuuzi
Mod one
Mod two
Painkiller
Cookie
Invincible
Farida
Nasimama na Moderators. Hapa ndo mahali sahihi. Na uhalifu ntakaofanya ndani ya saa 24 nabaka wote kwenu.
 
Back
Top Bottom