Yawezekana Dudubaya Yuko Sahihi(?)

Hapo chacha yani bongo kwa kifala sana marehemu akifa kuhuzunika ni lazima hata kama hakuumi ila utalazimika hata kuigiza.
.
Sasa mitaani usipoudhuria misiba eti unatengwa ni upumbavu wa hali ya juu
 

unaandika haya, kisha unasema tuishi kwa upendo!!!!!


upendo?????


Kifo ni ultimate punishment...ukisema marehemu ni kama unasema "bora umekufa"

kwa kosa lolote la marehemu, hakustahili hukumu yake iwe kifo

ukimsema marehemu ni kama unasema " unastahili kufa"
 
unajua ninapata shida sana ninapokumbuka ile skandali ya DUDUBAYA kumvurumishia makonde MR.NICE jukwaani na hili sasa.Najiuliza kama ndio huyu kijana RG ndio alikuwa mbaya hivyo why DUDUBAYA hakuweza kumfanyia kama alivyomfanyia MR.NICE?!?, naamini umaarufu wa DUDUBAYA ulianza kushuka hapo na sioni ushahidi wa moja kwa moja kwamba RG alimshusha DUDU kutoka pale alipokuwa amefika wakati ule ninavyojua DUDU alihukumiwa na wananchi, mashabiki wa mziki wake, hawakupenda matendo yake.natoa mfano wa JIDE na MOND nasikia nao walikuwa na msuguano na RG lakini walijituma zaidi kwani walijua RG sio finalist wa maisha yao ndio maana wanafanya vyema mpaka sasa na sioni kama wanasimanga marehemu sasa. Wajameni tufike mahali Marehemu tuwape heshima zao tuache MUNGU akawahukumu hukohuko waliko. sisi hapa hata tukisemaje tunayemsema hayupo hawezi kujitetea!!! TUACHE TUACHE
 
Mkuu nawe ni mmoja waliokuwa wanamchukia marehemu lakini sio kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua nn ww..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya sababu kuwa Ruge alikuwa zaidi ya mtu maarufu ni hii kuendelea kuzungumzwa kwa ubaya na uzuri wakati amekufa. Dhana ya ubaya na uzuri wa mtu inategemea alikugusa wapi maana jukumu lakutaka kuguswa na mtu ni lako mwenyewe, ukimwona mtu mbaya kwako wewe mwenyewe ndio mtu wa kwanza kujilaumu maana ndio uliruhusu kuguswa kwa udhaifu wako wa kutegemea watu wengine wafikiri kwa niaba yako ikiwa tofauti unawalaumu
 
kuna jamaa hapo juu amenichekesha sanaa, anakwambia ubaya bongo mtu akifa wote tuna lazimishana kusikitika ata kama mtu yule hakuna namna alikua ana kugusa, na usipoenda misibani unatengwa na jamii.... katumia akili nyingi sanaa kuyaandika haya, ni ukweli,,, kwa wenzetu kule jirani yako anafariki ata ukienda msibani watu wanakushangaa umeenda kutafta nini? mbona hawakujui, watu wanafiwa na ndugu zao lakini inakua kama hakijatokea kitu kwao, karne ya 21 ni mpya na ina mambo mengi mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…