Tofauti ya Afrika na Amerika Amerika watu wengi wanamiliki bundukiAiseh hili tukio litaleta shida sana huku africa kwenye chaguzi zijazo!!
Ni rasmi sasa wagombea watakua na uoga kwenye mikutano!
Ukishakua blacklisted na Raymond Reddington huwez chomoka yale maji marefu no body can stop himJACK BAUER kwani hakuwepo hapo mkutanoni ? Mpaka trump anapigwa risasi?
Hatari hiiNi wazi Wafuasi wa Trump walimuona huyu Muuaji akipanda juuu hapo na akiwa na Silaha.
Kwa kelele hizi, ni kithibitisho tosha kua.
Kumbe hata Marekan, Kuna Highest level of incompetence, negligence , ignorance , insubordination among Security secret services !! .
Hapa chini Wananchi wa Trump wanapoga kelele sekunde kadhaaa muuajianafyatua risasi
View attachment 3041886
napata utamu kusoma uchambuzi wa nguli wa masuala mbalimbali ya kitaalam, akiwemo huyo. sikia hizi maneno 'AMATEUR' na 'TRIGER'ILa jamaa angesogeza target yake inchi mbili tu ndanj alikua anafumua ubongo... anaonekana alipata target kwenye cross hair ila alipovuta trigger impact ikamtoa nje kidogo... anaonesha ni amateur.
Mbona kama sniper alisoma mchezo mapema
Naona mama anamfukuza mdunguaji. Fu**ck Get out over hereNi wazi Wafuasi wa Trump walimuona huyu Muuaji akipanda juuu hapo na akiwa na Silaha.
Kwa kelele hizi, ni kithibitisho tosha kua.
Kumbe hata Marekan, Kuna Highest level of incompetence, negligence , ignorance , insubordination among Security secret services !! .
Hapa chini Wananchi wa Trump wanapoga kelele sekunde kadhaaa muuajianafyatua risasi
View attachment 3041886
Wahuni wabongo utawaweza wewe awa kila kitu wanajua. Ila maswala ya uchumi wako zero tuuu. Ila maswala ya vita wanapenda sana. Na ndio maana kwenye uzi maalumu uwezi kuwakuta kama kwenye maswala nyeti ya uchuminapata utamu kusoma uchambuzi wa nguli wa masuala mbalimbali ya kitaalam, akiwemo huyo. sikia hizi maneno 'AMATEUR' na 'TRIGER'
kuna nyakati za ile ajali ya ndege Ethiopia, humu jukwaani kulijaa chambuzi jadidi zilizoshiba. tukasikia cms, pitot holes, black box n.k. nikawa najiuliza kumbe tz tunaitwa masikini kwa bahati mbaya. watu wanajua mengi ya thamani kwanini wasipewe nafasi wakayaonesha maujanja yao 😀😀. Masoud Kipanya katoa gari ya umeme, wataalam hukamrukia hewani kumkosoa eti kaunda toroli lilichangamka, mara hakina shepu, sijui nini almradi tu watoe makosa badala wajiulize huyu kathubutu kionesha kwa vitendo anachokiwaza; je wao wameshatoa hata mkokoteni wa mbao😋😋Wahuni wabongo utawaweza wewe awa kila kitu wanajua. Ila maswala ya uchumi wako zero tuuu. Ila maswala ya vita wanapenda sana. Na ndio maana kwenye uzi maalumu uwezi kuwakuta kama kwenye maswala nyeti ya uchumi
Sio lgbtq+ maana wanajua akiingia madarakani uhuru wao unakua mdogoWatakuwa wenye Imani Kali za kidini walitaka kumuondoa maana wanamjua vizuri akiingia madarakani.
Mungewafyeka😀?Tofauti ya Afrika na Amerika Amerika watu wengi wanamiliki bunduki
Huku Tanzania watu wengi wangekuwa wanamiliki bunduki mbona mafisadi wangeshaisha siku nyingi.
Ulikuwa mchongo wa kumuua trump huo.. ila umebuma.. hao secret service wamejivuta mno kummaliza huyo dogo, kama walikuwa na maagizo flan.The shooter was very open... Halafu sio pro... Aliinuka kidogo ndio akapiga risasi ndio maana hakupata target vizuri..
Hakuna gun detector hapo? Au mpaka akisha kuwa Potus ndio kunakuwa na hizo detectors na surveillance cams!??
Duh
Hawa mbwa wa afrika bora wawe waoga kudadeki zao.Aiseh hili tukio litaleta shida sana huku africa kwenye chaguzi zijazo!!
Ni rasmi sasa wagombea watakua na uoga kwenye mikutano!
Gun detector wakati Kila mmarekani amerihisiwa gun!? Kule ni Mungu saidia tu!!The shooter was very open... Halafu sio pro... Aliinuka kidogo ndio akapiga risasi ndio maana hakupata target vizuri..
Hakuna gun detector hapo? Au mpaka akisha kuwa Potus ndio kunakuwa na hizo detectors na surveillance cams!??
Who are soros ?Soros hawana huo ujinga
Billionaire mmoja ambaye ni supporter of liberal agendas, Republicans hates him so bad wanamzushia dirty zote aonekane hafaiWho are soros ?