std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,293
- 3,928
Tofauti ya Afrika na Amerika Amerika watu wengi wanamiliki bundukiAiseh hili tukio litaleta shida sana huku africa kwenye chaguzi zijazo!!
Ni rasmi sasa wagombea watakua na uoga kwenye mikutano!
Huku Tanzania watu wengi wangekuwa wanamiliki bunduki mbona mafisadi wangeshaisha siku nyingi.